Facing the future?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,601
729,485
69d4afe01d42e3066946a3e4b0c60294.jpg
 
Umenikumbusha my late grandpa, 1982 RIP....alikua akinipigia stori za watu kuja Dar kwa miguu kutoka bara....mfano Tabora- Dar kilomita 830. Nina imagine kwa siku mtu mwenye afya yake labda atatembea kilomita 20 average. TBR -Dar itamchukua siku 42..almost....mwezi mmoja na nusu au miwili kuja kuvinjari town hahahahah
 
Siku hizi hata mwendo wa kilomita 3 mtu anakodi bodaboda
 
kwakweli imekua tabu sana, huyo mtoto hapo naamini ukimtuma kukamata jogoo la kienyeji ni chini ya dakika 5.....ni bahati tu siku hizi tuna ma- broiler...otherwise kwa huu uzao wetu hapa mjini ingetubidi watu wazima tukimbize vijogoo wenyewe hahaha
 
KIKO. Kweli hakuna jipya chini ya jua, enzi hizo kiko ilipulizwa na wazee, now imekuja kidijitali zaidi Shisha hii inapulizwaaaaa jamani na rika zote. Ni ubunifu tu
 
Haha broila ukimshtua tu anajifia maskini!
 
Kweli cku hzi ht me hata kwenda dukani jirani nawasha gari wkt zamani kwenda shule natembea km 9 na kurud 9 sshv nimejiachia tambi hilo yaani kukuchumaa tu kukata gogo nikitoka hapo jasho km nimetoka gym
 
angalia usije kushindwa na vingine
 
KIKO. Kweli hakuna jipya chini ya jua, enzi hizo kiko ilipulizwa na wazee, now imekuja kidijitali zaidi Shisha hii inapulizwaaaaa jamani na rika zote. Ni ubunifu tu
Mkuu uvutaji wa shisha upo toka enzi ya zamani asili yake ni uarabuni huku kwetu ndiyo imekuwa fasheni,kiko au mtemba enzi hizo walikuwa wanavuta watu wenye madaraka au vyeo maofisini.
 
Juzi naona kwenye taarifa ya habari watu wanalaumu lift imeharibika kwenye nyumba ya ghorofa tano,hata ngazi kupanda watu hatuwezi mmmhhh!!!!
 
Kuna Mzee mtaani kwetu alikuwa anavuta kiko hatari,mpaka akawa anaitwa Mzee MITEMBA!!! kumbe jina lake Mzee Kassim Ananasi! Mwenyezi Mungu amrehemu
 
Hapo umemgusa Babu yangu mzaa mama, sema yeye alikuwa anaitwa Henericko (R.I.P.) mpaka sasa kijijini kwetu nikienda kutembea naitwa MZEE MTEMBA (jina la utani la Babu yangu)
 
Umenikumbusha my late grandpa, 1982 RIP....alikua akinipigia stori za watu kuja Dar kwa miguu kutoka bara....mfano Tabora- Dar kilomita 830. Nina imagine kwa siku mtu mwenye afya yake labda atatembea kilomita 20 average. TBR -Dar itamchukua siku 42..almost....mwezi mmoja na nusu au miwili kuja kuvinjari town hahahahah
mkuu hapana.. km 20 ni kidogo sana kwa masaa 12.. sisi tunaotembea na mifugo kwa mfano huwa tunaenda km zaidi ya 100 kusaka majani.. hapo ni go.. vipi kurudi?
 
haya mahesabu yananichanganya.. (kama upo dar) ukitokea mataa ya morocco kuja magomeni km1 inakuwa kwa wapi?
 
Dar mpaka chalinze ni kilomita karibu 100, kwa gari ni masaa 2. mkuu Bill of Quantity unasema waweza kwenda na kurudi, unatumia muda gani......

data=RfCSdfNZ0LFPrHSm0ublXdzhdrDFhtmHhN1u-gM,2DFm-4XifUbtQjR3uxQ2v0Zi_un8SanzWA26wmV0tFRr37zVe1Z1rKDLByWpzB5mHUNR1q5fVsqGF56ax5WVZZXOnZmmu6lixtJFXSa1Zb1pM0u0JMwkSHLJhVqZh2kuwil51qK1d04aQeQtzMZDFPY,m4Hh68CbSFN6k3gcBMMU_byweyHHHjXxxh6dorLE_Xh3pf8SUr1dNU_KS_7d-R8q0tIehgryg_1LztBAFB3QNNfn4x2KpD6s-5WoJzSMoxMAaTCewGy4VMUf5bItOoCNDJ87vjoxLv85Hfjz0hf_PhKkt5wiGWA7akIDl_UBODPPlE2t0pTV0sx4Ej80lhWlbleK8Ph5_q12C8e4Mtwlu-lGbtL8cMgfsgSUTsoILex-lwXTFtpKkRmviussSZFKeQ-hdtOpxRMHjigS05OswYlVSkDiGdwVAePmO-t_qw4yPZgNt7U0bwzpVOVaraEIsdqfItm-PURrY0I2xxUiWrzuDE39-4ehpZbP3PckgFAqpP1xPMdXspEum1T7DH0WNGl9cKhmT-8O0S2MnahKR6QoeTMcmgyGgVmdxh1DdDTjxgCJ7kftIMcljFc

2 h 5 min (98.9 km) via A 7

Moroko mpaka magomeni ni kilometa 4,

Unapo safiri kwa miguu sidhani kama ni vema kwenda fasta, nadhani inatakiwa uende mwendo wa wastani na pia kupumzika ni muhimu kula kulala pia. Mimi nadhani kwa umbali mrefu kama km 800 kutumia masaa 12 kwa kilometa 20 bado nisahihi.

Dar mpaka kibaha ni kilomita 25. sijui watu hutembea kwa masaa mangapi ila wastani wa dakika 50 kwa gari.

Au mkuu peterchoka unatumia muda gani kutembea moroko to magomeni...in case ulishawahi kufanya hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom