Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,378
tutarudi Hi5 nani anataka ushoga hapa
Tuanze kujitegemea watatuheshimu.
facebook ya nini bhana wakati tuna JAMII FORUMS?
kweli shetani amefanya kazi kubwa sana,hadi hapa tulipo Mungu tu ndio anatulinda.
Yaani baada ya makampuni kuanza kuwekeza business zao kwa kujitangaza via FB na kununua hisa hiyo hiyo FB ndio inatumika kuhalalisha upuuzi (USHOGA).
Yaani wenye kuhitaji wakilianzisha tu lazima mkubali maana mtaanza nyimwa misaada etc.
Hii inatupatia fundisho kuwa tusimtegemee mtu au nchi maana atatusaidia ili yeye anufaike,nchi kama CHINA haya mambo kutokea ni ngumu maana wako strict na kuingiliwa si rahisi kwa nchi zetu za Africa haya mambo kutokea si ajabu misaada itafungiwa sana
ila tusimamie ukweli kuwa Mungu hakukosea kuumba Mwanamme na Mwanamke

Sisi tulivyo mabingwa wa kuomba misaada, sitashangaa tukifyata katika hili. Ila cha msingi, maisha bila FB kwa Tanzania (hata Afrika) yanawezekana sana.