Mkuu Zamaulid Hakuna kitu kilichojificha nimeamuwa kurudi Utu uzima tena naachana namambo ya ujana unasemaje?MziziMkavu na avatar(s) nini kimejificha nyuma ya mabadiliko kiongozi wangu!!
Hapana siungi mkono tigo ni kwa ajili ya kutoa sms tu!!
Mkuu Endangered Source ya habari ni hii hapa bonyeza FACEBOOK YATISHIA KUJITOA ENDAPO HATUTAKUBALI "USHOGA" - MPEKUZIBwana MziziMkavu, naomba kufahamu source ya habari hii tafadhali.