Hivi unajiungaje Facebook ?
Kwahiyo unatakaje, wao wamekaa darasani na kubuni facebook, kwenu Tanzania mmebuni nini cha maana
tatizo la waafrica ni viongozi wabovu tuna watu wanaweza kuanzisha mitandao ya kuunganisha waafrica lakini serekali za africa watazifunga kama zinasema maovu yao, sijaona kiongozi wa africa mwenye ndoto za kuwajenga wanachi wake ili waweze kupambana ktk ulimwengu, wala hawana ndoto za kujenga mataifa yao yawe makubwa kiuchumi,kisiasa na kijamii, wao ni kuiba na wanafurahi kuona watu wao wakiwa maskini, ili waendelee kuiba na kuwafanya watumwa
Huko ulaya ndiko kuliko na viongozi wabovu kuliko Africa. Wewe fikiria Michele Obama na watoto wa obama wanavyotumia mali ya nchi yao watakavyo. wakienda nje wanavyonyenyekewa huwezi kuamini. Mke na watoto wa kiongozi wa afrika wakifaya hivyo utasikia BBC na CNN wanavyoandika.
C
Nawashangaa akina mimi mie wanaodai kupeleka malalamiko ya kushindwa kwa mabalozi wa Ulaya kila leo wanapiga hodi kwenye ofisi za jumuia ya ulaya ,wakidhani hao ndio watatatua matatizo yetu,wakitoka tu maofisini huku nyuma wanang'ong'wa.Hahaha unadhani wanakujali ndugu yangu?
unataka kuniambia kuwa na facebook maisha yanakuwa yamekamilikandorooobo...wewe inawezekana hats JF ulimtafuta jirani yako akuunganishe... mpaka sasa hivi hujui hata ABC ya Facebook???
presha presha, huwa nikiona post za jirani zangu kwenye hio kitu - umbeya unakuwa mwingi sana kuliko mambo ya msingiule mtandao ni mzuri sana tu sema kwenye kenge na mamba wapo mbona humu kumevamiwa
Kwahiyo unatakaje, wao wamekaa darasani na kubuni facebook, kwenu Tanzania mmebuni nini cha maana
tatizo la waafrica ni viongozi wabovu tuna watu wanaweza kuanzisha mitandao ya kuunganisha waafrica lakini serekali za africa watazifunga kama zinasema maovu yao, sijaona kiongozi wa africa mwenye ndoto za kuwajenga wanachi wake ili waweze kupambana ktk ulimwengu, wala hawana ndoto za kujenga mataifa yao yawe makubwa kiuchumi,kisiasa na kijamii, wao ni kuiba na wanafurahi kuona watu wao wakiwa maskini, ili waendelee kuiba na kuwafanya watumwa
Akikujibu naomba unipm nami nijiunge mkuu!Hivi unajiungaje Facebook ?
Akikujibu naomba unipm nami nijiunge mkuu!
Unanitonesha mkuu, wengine tunaonekana wa kuja kutofahamu hio kitu aisee
Kinachonisikitisha ni kuwa hao vijana wa fb wengi wamevamia humu pamoja na vitabia vya kigeni kiasi cha kuwafukuzilia mbali watu makini wa jukwaa hili!