Facebook page promotion

Facebook page promotion

Midozenj01

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
421
Reaction score
422
Mambo vipi?
Kama kijana mpambanaji nimejikuta naingia kwenye issues za facebook pages kwa lengo la kutangaza business zangu za hapa na pale...

The only issue nilonayo ni kuifanya page yangu iwezekuwa promoted na FB ili niwe napata huduma ya sponsorship ya posts zangu whenever i want...

Itapendeza nikipata expert akanisaidia japo kwa commission ya kishkaji nitafrahi sana...

Nawasilisha
 
Ingia YouTube andika how to promote Facebook page.
 
Mbona huwa inajieleza. Hamna sehemu wanakwambia promote au boost post?
 
Mambo vipi?
Kama kijana mpambanaji nimejikuta naingia kwenye issues za facebook pages kwa lengo la kutangaza business zangu za hapa na pale...

The only issue nilonayo ni kuifanya page yangu iwezekuwa promoted na FB ili niwe napata huduma ya sponsorship ya posts zangu whenever i want...

Itapendeza nikipata expert akanisaidia japo kwa commission ya kishkaji nitafrahi sana...

Nawasilisha
Nicheki mkuu
 
Nicheki 0677 818283 ...nikupe shule ya sponsored ads

Nakupa kwa experience yangu..coz ninatumia sana hii huduma ya sponsored ads
 
Back
Top Bottom