Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,430
wakuu hii site nilikuwa siifuatilii kihivyo,leo nikaamua ngoja niingie nikajionee kunani huko facebook,huwezi amini nimekutana na ma school mate wangu kibaooo ambao nimepoteana nao kwa zaidi ya kiaka 20 sasa,aisee nimefarijika sana na kujiona kama vile niko nyumbani na kuanza kutoka na machozi. Nawashauri wale ambao mmepoteana kwa muda mrefu mnaweza mkapatana kule. ila JF😛oa ndio mwisho wa matatizo kwasababu hatuonani tunapakana tu.TANZANIA KWANZA.Nalog off