LordJustice1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 2,263
- 530
Hicho "Kitabu Sura" sikifagilii sana!
Situmii mimi hiyo fesibuku.
huishi vioja,bora wewe imekuliza kilio cha furaha mwenzako nimesaga meno kwa huzuni hyo fb hata hamu sina
Hicho "Kitabu Sura" sikifagilii sana!
wakuu hii site nilikuwa siifuatilii kihivyo,leo nikaamua ngoja niingie nikajionee kunani huko facebook,huwezi amini nimekutana na ma school mate wangu kibaooo ambao nimepoteana nao kwa zaidi ya kiaka 20 sasa,aisee nimefarijika sana na kujiona kama vile niko nyumbani na kuanza kutoka na machozi. Nawashauri wale ambao mmepoteana kwa muda mrefu mnaweza mkapatana kule. ila JFoa ndio mwisho wa matatizo kwasababu hatuonani tunapakana tu.TANZANIA KWANZA.Nalog off
umeona eh! leo niko njema sana.Nalogf offfacebook mpaka uliyesoma chekechea unampata
kwani ekselent ulikutana naye huko face1000? Nalog offna wakuumiza moyo ni wengi zaidi
lakini wewe si unawasoma vizuri bila wao kujijua?Nalog offmi wananikosa kwa sababu mpaka fb natumia nickname tu.. tatizo nilianzia goal.com/forums na baadae jf kwa hiyo imenipelekea mpaka kutumia nickname hadi facebook..
aisee ni miaka mingi mnoooo mie sikutegemea kama hawa watu nitaonana nao tena katika maisha yangu ila ndio nimewaoona hapo,nimelia kwa furaha kaka.Nalog offSasa mkuu kimekuliza nini wakati wote wapo hai kama ungekuta wamefariki sijui ungefanyaje..nalog Out