Najua inafurahisha kwani unakutana na watu mbalimbali. Hasa wewe ambaye uko nje ya TZ. Ukilog on.... Unawaona baadhi ya rafiki zako. Sijui labda uingie kwenye groups utapata mambo ya maana..na yenyewe inategemea na group. Ukiwa maarufu kulizwa ni rahisi pia,maana kule wengi wanaweka majina yao halisi na picha. Humu JF tunashare ideas,mitazamo,na kushauriana mambo mbalimbali, kiuchumi,siasa,kijamii n.k. Na tunafundishana vitu vipya.Mfano mimi kwa kutumia tech forum, vocha yangu haiishi sana, natumia opera mini, kitu ambacho sikukijua hapo mwanzo. Otherwise. Wasalimie Wareno na ma-antigue!