Facebook bwana!

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,601
729,479
Sasa hapa u LIKE nini

1465273528648.jpg
 
Ah hahahaa mmi ndo mana sikuwahi na wala sitakuja jiunga facebook,
Mana mtu analeta habari za msiba afu watu chini wanalike
 
Mie binafsi huwa nashindwa kweli kuelewa unapata mtu kaweka picha ya mtu either ni kilema or ana matatizo fulani/yuko kwenye shida flani halafu anakukomand "kama una moyo wa huruma -like na type amen- kisha share sijui watu huwa wanafulahia wenzao wawe kwenye hali hiyo au huwa hawajui nini maana ya neni "like na amen/amina"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom