Facebook account imedukuliwa

Facebook account imedukuliwa

Joined
Jan 7, 2017
Posts
13
Reaction score
10
Jamani waungwana naombenie Msaada wenu
Kunatatizo limetokea kwenye facebook account ya rafiki yangu..
Kwasasa rafiki yangu huyu hana simu janja takribani Wiki tatu sasa
But Jana kuna mtu amepost matusi na mambo ya ajabu kwenye ile facebook account... Mpaka saivi nnavoandiki hivi jamaangu huyo kalazwa hospital kutotana na pressure na msongo wa mawazo..
Naombeni msahada wenu tutawezaje ku recover ile facebook account Na hata kumjua mtu anaeitumia
Tafadharini jaman naomaba mnisaidie
 
Kwa nini asiende mamlaka ya mawasiano TCRA moja kwa moja na kwenda kutoa taarifa vinginevyo anaweza kamatwa pia itabdi are report ktk akauti yake Facebook
That someone is using his account
OVA!!
 
Iyo account alifungua kwa kutumia namba ya simu au email
 
Poleni sana.

Pia mjifunze kuwa na account yenye "Two steps Verfication" husaidia kidogo hata kumsumbua Hacker.
 
Ripoti facebook kupitia email yao,

pia ripoti polisi kitengo cha cyber wajue ili ikitokea shida uwe uko salama.
 
Back
Top Bottom