Mchepuko umekuja kupanga nyumba ninayoishi na familia yangu

famicho

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,191
2,852
Habari za jioni wanajf,

Waungwana naandika Uzi huu nikiwa na uchungu mwingi sana, na nisijue chakufanya.

Iko hivi;
Nina mchepuko ambao tuna miezi kadhaa sasa ila sijawahi kumuonesha kwangu, kwa upande wangu Nina mke na watoto wawili.

Kwa wiki kadhaa nipo mkoa tofauti na familia yangu, na Leo mpaka muda huu nipo safarini narudi kuungana na huu mchepuko kwa siku ya Leo(mke wangu sijamwambia kama ninarudi Leo, nimempa taarifa kuwa nitarudi kesho). Masaa mawili yaliyopita imeingia meseji kutoka kwa rafiki yangu Wa karibu ambaye anaujua huu mchepuko na kunipongeza kuongeza mke Wa pili(mchepuko), katika kuhojiana kwa kina ndipo nimegundua kuwa anamaanisha kuwa ule mchepuko umehamia katika ile nyumba baada ya mpangaji kuhama.

Shida ipo hapa, Jana niliongea nao vizuri na kirefu huu mchepuko na kuniomba hii Leo aje kunipokea stand na kunipeleka katika makazi yake mapya(surprise) nami nikakubali, na tulipanga hii leo nikifika nilale kwake alafu kesho usiku niende nyumbani kama ambavyo mke wangu nimemjulisha.

Sasa wakuu nimekwama namna ya kuihandle hii ishu nifanye vipi, mana kuhusu mchepuko kuhamia nyumbani ni confirmed 100% huyo rafiki yangu alimpiga picha ya kisiri akiwa maeneo ya nyumbani na kunitumia, na mke wangu amenipa taarifa ya kuhamia kwa mpangaji Wa kike.

Ushauri wenu Wa haraka unahitajika, kwa maana nikizima simu niende nyumbani picha litakuwaje akiniona? Na akija kunipokea na kwenda kwake itakuwaje kwa mke wangu?
Naomba mnisaidie hili swala tulijenge, nipo tayari kwa kejeli, dharau etc ili mradi utatoa ushauri Wa kunisaidia ila sio matusi.Bado masaa mawili tu safari yangu ifike tamati.

UPDATES;
Jana niliamua kuzima simu na nimeamua kujipa muda Wa kutafakari zaidi, nimeamua kuchukua chumba na nitakuwa hapa mpaka kesho.

Naombeni ushauri wenu zaidi.
 
Kama Ni kweli hii Ni issue rahisi Sana.

Fanya hivi, muite mchepuko stand/airport, nenda Naye hotelini, mgegede vizuri, halafu mwambie ukweli kua pale Ni kwani na ndiyo familia yenyewe! Yaani mwambie kwa sasa wewe unaishi kwa maslahi mapana ya familia yako, so yeye awe mpole mtaendelea kulana kihotel hotel,.

I hope ataelewa na atawahurumia wanao so hatoleta varangati, na ukiweza mtoe, kampangie sehemu nyingine.
 
Habari za jioni wanajf,

Waungwana naandika Uzi huu nikiwa na uchungu mwingi sana, na nisijue chakufanya.

Iko hivi;
Nina mchepuko ambao tuna miezi kadhaa sasa ila sijawahi kumuonesha kwangu, kwa upande wangu Nina mke na watoto wawili.

Kwa wiki kadhaa nipo mkoa tofauti na familia yangu, na Leo mpaka muda huu nipo safarini narudi kuungana na huu mchepuko kwa siku ya Leo(mke wangu sijamwambia kama ninarudi Leo, nimempa taarifa kuwa nitarudi kesho). Masaa mawili yaliyopita imeingia meseji kutoka kwa rafiki yangu Wa karibu ambaye anaujua huu mchepuko na kunipongeza kuongeza mke Wa pili(mchepuko), katika kuhojiana kwa kina ndipo nimegundua kuwa anamaanisha kuwa ule mchepuko umehamia katika ile nyumba baada ya mpangaji kuhama.

Shida ipo hapa, Jana niliongea nao vizuri na kirefu huu mchepuko na kuniomba hii Leo aje kunipokea stand na kunipeleka katika makazi yake mapya(surprise) nami nikakubali, na tulipanga hii leo nikifika nilale kwake alafu kesho usiku niende nyumbani kama ambavyo mke wangu nimemjulisha.

Sasa wakuu nimekwama namna ya kuihandle hii ishu nifanye vipi, mana kuhusu mchepuko kuhamia nyumbani ni confirmed 100% huyo rafiki yangu alimpiga picha ya kisiri akiwa maeneo ya nyumbani na kunitumia, na mke wangu amenipa taarifa ya kuhamia kwa mpangaji Wa kike.

Ushauri wenu Wa haraka unahitajika, kwa maana nikizima simu niende nyumbani picha litakuwaje akiniona? Na akija kunipokea na kwenda kwake itakuwaje kwa mke wangu?
Naomba mnisaidie hili swala tulijenge, nipo tayari kwa kejeli, dharau etc ili mradi utatoa ushauri Wa kunisaidia ila sio matusi.Bado masaa mawili tu safari yangu ifike tamati.
Pumbavu kabisa wewe,badala ya hela yako kuweka akiba ili upate kibanda unaendekeza mamabo ya kizamani,utaendelea kulipia usingizi maisha yako yote
 
Nakumbuka kuna tangazo la simu walikua wakisema "Tunakosegezea huduma kwenye vidole vyako" hahahah ushindwe wewe
We wwee! Penzi kikohozi... Either amweleze ukweli huyo mchepuko na aingie gharama za kumuhamisha hapo au amuache kabisa. Hiyo ishu itabumbuluka siku sio nyingi trust me.
Au kama 'dini yake inaruhusu' basi aongeze mke wa pili ijulikane moja.
 
Kwani mchepuko hukuuambia kama una mke

chakufanya wewe hapo hama.
 
Ebhana apo utaharibu na utachafua hali yahewa nakuleta mtafaruku kwene familiya yako ww chakufanya hapo ahilisha kabisa kufika Hom kalale hata guest muite uyo mchepuko wako awe mpole naiwe siri kama ataweza. ..lasivyo Muambie umeoteshwa kua hiyo sehem alipohamia sio nyumba nzuri inamadudu mabaya nayatammaliza cku mbili hizi kwaiyo hutofika hata kwadawa na kesho lazima ahame upo radhi umtafutie sehem hata usiku huu huu
 
Back
Top Bottom