Mule mule tu, Tsh 2,000 - 3,000 labda assume uhitaji mkubwa, ila Bei kawaida tu.KIlo moja inauzwaje kwa wastani?
Na inakuaje inakuwa bidhaa adimu wakati mpunga unalimwa karibu tu hapo Shy...
Sio kweli.4800
4800
Mule mule tu, Tsh 2,000 - 3,000 labda assume uhitaji mkubwa, ila Bei kawaida tu.
Hizo Bei ni Ile top. Ila wastani ata wa 2500 upo.Duh! kama wese...
Lakini lazima kuchunguza sababu ya kuwa bei juu hivyo, zaidi ya Tshs 1000 kulinganisha na mikoa mingine...
Unaweza pambana kufikisha hiyo bidhaa huko, ukajikuta nawe unauza bei juu, biashara ikadoda...
Hizo Bei ni Ile top. Ila wastani ata wa 2500 upo.
Uko sahihi. Wali unaliwa siku na siku, mfano sikukuu au tukio Fulani.Assumption niliyonayo, naona kama Bukoba au Kagera yote sio watu wa wali...
Sasa kama demand sio kubwa, biashara si itakuwa ishu...
Mchele Ths. 2200-4000 kwa kilo moja kwa kulingana na grade ya mchele. 4800 duh! labda basmati4800