F.F.U wametapakaa kila kona ya manispaa ya Iringa Mjini!

Atakuwa Liwalo na Liwe...plus dhaifu lao ni moja!

Ndio tatizo la kupata uongozi kupitia kwa Sangoma, watu wanapoanza kuomba kwa nguvu juu ya mabadiliko ya nchi yao, matunguli yote yaliyowapatia uongozi yanaungua na moto kinachofuata ni kupanick.
 
Mtasema yote, ila mkutano hauto fanyika ulinzi ni mkali mno ambapo hata nzi wamekimbia licha ya binadamu. Hiyo ndio maana ya dola, ikisema kitu lazima kifuatwe na hakuna anae weza kuitisha dola, asogee mtu sasa aone atakacho fanywa.

Midahalo mnaogopa Mikutano Mnaogopa kuongoza nchi hamuwezi mkienda kwenye majukwaa mnatukana huku mwenyekiti wenu akianguka kwa kisingizio cha Swaumu kinacho wafanya mng'ang'anie ni wizi mnaoufanya ambao muda wake umefika kama kwa kanali mwenzake Gadaffi
 
Mtasema yote, ila mkutano hauto fanyika ulinzi ni mkali mno ambapo hata nzi wamekimbia licha ya binadamu. Hiyo ndio maana ya dola, ikisema kitu lazima kifuatwe na hakuna anae weza kuitisha dola, asogee mtu sasa aone atakacho fanywa.

Mbona umekasirika, utatapika vyote ulivyowaibia watanzania, hizi ni mvua za mwanzo.
 
Hayo ndio kama jana walivyofanya Morogoro, wao walipewa kibali cha mkutano, wao wahamasisha maandamano, sasa hapo hawa jamaa wa FFU wakiwafanyia kitu mbaya watalaumu ? cdm ndio chanzo cha mauaji yote


Waislam walifanya maandamano Dar nani aliwagusa, halafu maandamano sio sababu, dunia nzima watu wanafanya maandamano na Polisi wanawalinda, ikitokea vurugu wanadhibiti. Inakuaje TZ hata maandamano tu ni marufuku tena yawe ya CDM tu.
 
IMG_0886.JPG



IMG_0885.JPG



IMG_0883.JPG

.....ukiwatazama vizuri hawa jamaa ni kama unaona ma-robot yaliyowekewa mind control program tayari kutekeleza amri.
 
Naomba wataalam wanijulishe madhara ya maandamano ya amani. sidhani kama kunahitajika nguvu zote hizo kutawanya badala ya kuyaongoza. hivi kwa nini nguvu nyingi zinaelekezwa kwenye mambo hasi badala ya mambo chanya?
 
IMG_0886.JPG

askari wa FFU mkoani Iringa wakiwa wametanda eneo la uwanja wa Mwembetogwa ambalo Chadema ilipanga kufanyia mkutano wake leo wa kitaifa

IMG_0885.JPG

Mkuu wa FFU mkoa wa Iringa afande Mnunka akiwa eneo la uwanja wa Mwembetogwa kuzuia mkutano wa Chadema

IMG_0883.JPG


IMG_0889.JPG

Mfanyabiashara eneo hilo la Mwambetogwa akihamisha bidhaa zake kukwepa shari eneo hilo ambalo limetangazwa kuwa ni eneo la hatari na FFU

Picha kwa hisani ya blog ya Francis Godwin
Nimeipenda sana hii, Chadema wanafanya mikutano mwembetogwa, Nape na magamba wenzake wanafanya mkutano soko kuu. hawa jamaa choka mbaya.
 
Hilo ni tatizo la upungufu wa mbinu za medani za baadhi ya Askari wetu.Bado wanatumia mbinu za miaka ya 47 kukabiliana na vikwazo vya kukabiliana na uhalifu na Wahalifu.
 
Waislam walifanya maandamano Dar nani aliwagusa, halafu maandamano sio sababu, dunia nzima watu wanafanya maandamano na Polisi wanawalinda, ikitokea vurugu wanadhibiti. Inakuaje TZ hata maandamano tu ni marufuku tena yawe ya CDM tu.
maandamano ya kufanya fujo na kuharibu mali za watu? Hakuna nchi dunia itakubali.
 
Nimepiga marufuku mtoto wangu kuingia kwenye geshi hili...atapoteza maarifa kwa kuambiwa kufanya mambo yasiyoweza kufanyika.
 
Mali gani zilihariwa jana hapa Morogoro, ukiondoa macho ya watu yaliyohariwa na FFU.
bila jeshi letu la polisi mali nyingi zingeharibiwa, na wizi wa mali pia ungefanyika. Tunawashukuru sana polisi kwa kulinda wapenda amani na mali zao.
 
mchungaji MSIGWA songa mbele.......sisitiza amani amani amani......tunakesha tukiomba amani watu wanaivuruga kwa mkono wa nyuma......KIBALI NI CHA MKUTANO NA SI MAANDAMANO!!
Wakizuia mkutano ambao wao POLISI wametoa kibali mimi binafsi nitawalaumu, nanyi mkifanya maandamano ambayo hyajaruhusiwa binafsi pia nitawalaumu
PEACEFUL MEANS OF ATTAINING YOUR GOALS WERE THE WAYS OF MANDELA,GANDHI,NYERERE,LUTHER and others FOLLOW THE PEACEFULL WAY AND GET SUPPORTED...! FOLLOW VIOLENT MEANS AND GET BITTEN TO THE BITTER END
 
Back
Top Bottom