F.F.U wametapakaa kila kona ya manispaa ya Iringa Mjini!

F.F.U wametapakaa kila kona ya manispaa ya Iringa Mjini!

Sensa haizuii watu kufanya mambo yao kwani kazi hiyo ni ya siku saba (7) lakini kwa vile wakubwa hawakipendi chama hicho wanafanya kila hila kukwamisha mipango yao ya kufanya mabadiliko kwa njia ya Amani kiliichobaki ni kutumia Mabavu na Polisi wao. ingekuwa Neema pia kuna uwezekano watu wangeitikia kwa wingi kuhesabiwa palepale uwanjani ingawa pengine wangekiuka taratibu za sensa lakini wangehamasika kwa wale ambao bado kuhesabiwa kwani moja ya wito wa CHADEMA ni kuhimiza watu wahesabiwe. kwa wale wenye dhana ya kwamba wanachadema wanapofanya maandamano ya chama chao watu wanashindwa kuhesabiwa Mbona serikali yetu haikutoa likizo ya siku saba kwa wale wafanyakazi wa kuajiliwa wakae majumbani ili wahesabiwe kwanza.Mwenyezi Mungu atawumbua Mchana Kweupe.
 
Hayo ndio kama jana walivyofanya Morogoro, wao walipewa kibali cha mkutano, wao wahamasisha maandamano, sasa hapo hawa jamaa wa FFU wakiwafanyia kitu mbaya watalaumu ? cdm ndio chanzo cha mauaji yote
Sijamaanisha kuwa nilichoandika ndiyo sahihi. Kama una-data lete jamvini maana mie nimewasiliana na mtu wa karibu na jeshi la Polisi hapo Iringa ndo kanipa hizo updates, sasa kama una lolote valid and reliable tueleze not attacking CDM only.
 
Mkutano kuzuiliwa na polisi, chama kinaingiaje?????? Siamini kama chama kinahusika. Polisi walaumiwe.
 
Hivi hizinguvu zote hazitoshi kuilinda hyoi mikutanona maandamano ili ifanyike kwa amani na utulivu?
 
Dr Slaa baada ya kuambiwa athibitishe uzushi wake kaamua kuleta vurugu,mauaji aliyosababisha moro yatamgharimu Iringa na kama nmc alijificha chini ya meza Iringa hapati hata jani la mgomba.
 
378358_475769895774255_2049472229_n.jpg

sijajua kwanini ccm wanaogopa maandamano. mia
 
Hayo ndio maelekezo ya Liwalo na liwe bila Hadidu za Rejea!!
 
Mimi nina siku ya tatu sijahesabiwa! Chadema wamefanya mkutano uliosababisha nisihesabiwe?! Magamba niwajinga sana maana wanashindwa kusoma alama za nyakati.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
I hate this rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrg,
Hao FFU wenyewe njaa zinawauma tuu hawana lolote, kuna jamaa yangu ni FFU hapa Iringa wakati fulani wanakuja kulinda benki hapa, nikienda kutoa hela ATM jamaa anajifanya msamaria mwema, anaanza kunisemesha kilugha na kuomba elfu kumi. Shame on you.

Nimepatwa na hasira naondoka sasa hivi kwenda mjini, timbwili likianza nahakikisha mmojawao anaambulia jiwe la uhakika au kumdedisha,
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez
 
Hao FFU wenyewe mbona hawaonekani, mimi nipo katikati ya mji maeneo ya posta na sijawaona wakipitapita...
 
Hiyo kitu imeingiaje tena hapo?

...teh teh..naona alitaka kuandika "kabisa"...
Tanzania tunaelekea kuzuri..baada ya watu kuwa sugu na uoga kwisha mambo yatakwenda tu, ila lazima kupita kwenye moto ili kutengeneza kizazi kipya.
 
wapenda mageuzi tunakazi kubwa sana, kuhakikisha nchi inakombolewa ila tusikate tamaa ukombozi utapatikana tu.
 
vyovote iwavyo wakulaumiwa ni watoa order hao wanaoranda randa mtaani hawana jinsi wanafuata order tu
 
hivi hao askari wanalipwa posho kweli? Au ndo ile kutii amri bila shuruti?
 
Hivi c kuna uzi mwingine ulisema mkutano umeahirishwa leo. Ngoja nitembelee kule kwanza
 
Mtasema yote, ila mkutano hauto fanyika ulinzi ni mkali mno ambapo hata nzi wamekimbia licha ya binadamu. Hiyo ndio maana ya dola, ikisema kitu lazima kifuatwe na hakuna anae weza kuitisha dola, asogee mtu sasa aone atakacho fanywa.


wewe ni geniusBrain au geniusAss
 
Ndo madhara ya akili ndogo kuongoza akili nyingi
 
Back
Top Bottom