Afta
JF-Expert Member
- Apr 2, 2023
- 519
- 791
Kwenye lile tamasha lao kubwa la Reggae walimrudisha Kwa mara ya pili jukwaani maana alitoa performance ya hatari.Lakini ngoma zake zilikua zikipigwa walikua wanaskanka kama kawaida😅😅😅
Kwenye lile tamasha lao kubwa la Reggae walimrudisha Kwa mara ya pili jukwaani maana alitoa performance ya hatari.Lakini ngoma zake zilikua zikipigwa walikua wanaskanka kama kawaida😅😅😅
Powerful storytelling voice 💥.Huyu ni balaa lisilo na mfano, 'remember me' ni ngoma yangu ya muda wote kutoka kwake.
Apumzike kwenye pepo.
Kwenye song UP WITH HOPE alipinga madawa ya kulevyaKumbe AI inasema:
Based on the information available, Lucky Dube did not smoke marijuana.
Multiple sources indicate that he refused to smoke marijuana, drink alcohol, or use any other drugs to be a good example. One source even quotes him saying that if God wanted us to smoke, he would have created us with chimneys.
Google Search found similar content, like this:
On what he thinks about drugs, Dube said: "I don't smoke. I don't drink alcohol. I hate the smell of alcohol, cigarettes or any other drugs.
Huyo mtu alikua anajua anachokifanya 😅😅.Kwenye lile tamasha lao kubwa la Reggae walimrudisha Kwa mara ya pili jukwaani maana alitoa performance ya hatari.
Alivaa uhusika na kuonesha namna pombe iliyozidi kiwango cha kawaida inavyoweza kuwa na madhara kwa familia na jamii kwa ujumlaKwenye song UP WITH HOPE alipinga madawa ya kulevya
Ila kwenye wimbo wa Liquor slave unaweza Dhani alikuwa Mr Bwax kweli.
Nifanyie maarifa ya usizi mamodinyo baninyo 😂
Yaani unabaki kubabaika usijue wimbo gani ni bora kuliko mwingine.Powerful storytelling voice 💥.
CANT BLAME YOU pia🔥
Ukisikiliza sana wimbo Fulani unauona mKali ukisikiliza mwingine pia mKali,
Ntumie nyimbo yangu, aaah we vip bhnYaani unabaki kubabaika usijue wimbo gani ni bora kuliko mwingine.