Lucky Dube never smoked Ganja.He was very smart but after using a drugs was changed from hair up to clothes.
Hapa wakati bado anaimba mbaqanga sio?
Do u have any evidence for u point ?Lucky Dube never smoked Ganja.
Alisema kama kukush ndio urasta basi yeye sio rastaHaiwezekani
Kuna interview moja niliona pia akihojiwa akadai hatumii bangi wala pombe ,najaribu kuitafuta.Do u have any evidence for u point ?
Upo sahihi mkuu hata Wajamaica walimtenga baada ya kuzungumza hivyo hawakupenda kabisaa..Kuna interview moja niliona pia akihojiwa akadai hatumii bangi wala pombe ,najaribu kuitafuta
Kwa mazingira aliyokulia jamaa na namna alivyolelewa neno lake kwenye hayo linaweza kuwa ni hakika.Kuna interview moja niliona pia akihojiwa akadai hatumii bangi wala pombe ,najaribu kuitafuta.
Lakini ngoma zake zilikua zikipigwa walikua wanaskanka kama kawaida😅😅😅Upo sahihi mkuu hata Wajamaica walimtenga baada ya kuzungumza hivyo hawakupenda kabisaa..
Kumbe AI inasema:Lucky Dube never smoked Ganja.
Huenda ni kweli alikuwa havuti .Kumbe AI inasema:
Based on the information available, Lucky Dube did not smoke marijuana.
Multiple sources indicate that he refused to smoke marijuana, drink alcohol, or use any other drugs to be a good example. One source even quotes him saying that if God wanted us to smoke, he would have created us with chimneys.
Google Search found similar content, like this:
On what he thinks about drugs, Dube said: "I don't smoke. I don't drink alcohol. I hate the smell of alcohol, cigarettes or any other drugs.
Huyu ni balaa lisilo na mfano, 'remember me' ni ngoma yangu ya muda wote kutoka kwake.Usizi ni nyimbo yake, 🤔 naomba mnitumie secretarybird
Nifanyie maarifa ya usizi mamodinyo baninyo 😂Huyu ni balaa lisilo na mfano, 'remember me' ni ngoma yangu ya muda wote kutoka kwake.
Apumzike kwenye pepo.