Extremism is on the rise in Zanzibar - Financial Times

Extremism is on the rise in Zanzibar - Financial Times

Status
Not open for further replies.
Ukweli utatuweka huru. Kwenye hili sio 'Western Propaganda'. Makanisa yameanza kuchomwa zaidi ya miaka 4 sasa! Makaburi ya wakristo nayo yamevamiwa, wakristo wanaoishi Zanzibar wanakuwa treated kama '2nd claa citizen. It is impossible to explain hapa hofu waliyonayo wakristo huko Zanzibar. Na nasema haya si kwa kuhadithiwa!

Asante FJM, lazima tufike wakati tujenge hoja na sheria za kuihifadhi nchi hii (Tanzania au kama watajitoa basi Tanganyika) iwe secular and free.

Hatuwezi (affordably) kuwa na fikra za udini kwenye national issues. Lazima pawe na mipaka ya wazi na inayoonekana wazi kisheria, kiutawala na kijamii.

Sadly, kuna watu wazima wanaiharibu Z'bar na wana nia ya dhahiri ya kufanya hiyo ila wanapewa nafasi aidha kwa kupuuzwa au makusudi.
 
Ukweli utatuweka huru. Kwenye hili sio 'Western Propaganda'. Makanisa yameanza kuchomwa zaidi ya miaka 4 sasa! Makaburi ya wakristo nayo yamevamiwa, wakristo wanaoishi Zanzibar wanakuwa treated kama '2nd claa citizen. It is impossible to explain hapa hofu waliyonayo wakristo huko Zanzibar. Na nasema haya si kwa kuhadithiwa!

Mkuu,

Kweli nyani hauni masaburi ya wenzieMbona. Bara Huku waislamu ni second class citizen? Mkuu ninarudia tena ni vema serikali itafakari suala zima la huu mfumo kristo. Ni very serious kwani Kama umesikiliza malalamiko ya wazanzibari ni chuki dhidi ya Muungano na Serikali ya Muungano Kama imeziba masikio. Na ukweli underneath ya wote ndio maana hojaza hawa jamaa wa uamsho zinapatanguvu. Utumiaji wa nguvu wa serikali ni kuchochea tuchuki.

Nilikuwapo
 
Under the peach arches of Al-Noor charitable agency for the needy just outside Stone Town in Zanzibar, a 24-hour Islamic radio station broadcasts religious guidance.

​
Female tourists should wear headscarves and cover their knees, says Mohamed Suleiman Ali, director of Radio Al-Noor, echoing the opinions voiced on radio. “It’s too early to fight for an Islamic state because there are several stages to that, but a lot of things are being done contrary to the teachings of Islam,” he says. “There’s no social responsibility; the government keeps producing more [social] freedom.”

Famed for its beaches, more than 170,000 holiday makers come to Zanzibar every year to swim with dolphins and lie beneath coconut trees. But the relaxed way of life that lures tourists to the mainly Muslim islands off the east coast of Africa is coming under threat from a rise in less tolerant forms of Islam. This is tapping into festering discontent over the island’s sovereignty and beginning to influence social mores.

The islands – which make much of their money from tourism – are home to 1m people and more than 2,000 Muslim religious schools. Most of these draw on a long tradition of moderate and Sufi forms of Islam. But these are underfunded and staffed by volunteer teachers. Increasingly, parents are sending their children to better financed alternatives in a process that is beginning to parallel that taking place across a swath of sub-Saharan Africa from Somalia to Mali, where the growing influence of more radical forms of Islam can be felt.

READ MORE

Mkuu Mwanakijiji,

Hii propaganda ya wazungu Kama wamekutuma waambie sio kweli. Ni kweli Zanzibar was predominantly Muslim state practising Sufism . However the introduction of these so called salafism or the most appropriate nameis Wahhabism created a heat. Unfortunate this is a result of the union government to continuous suppress economically Zanzibar. As result massive poverty , high unemployment and politics pave way for oil rich religious sect to penetrate in Zanzibar. Moreover, anger against the union exacerbate this situation. Hivyo kawajibu waliokutuma Kuwa Zanzibar tatizo la extremism wamelisababisha wao na serikali ya Muungano .

Nilikuwapo
 
mimi nilishalina hili tangu zamani kwamba znzb wanataka kujitenga na tz ili kujiunga na ile jumuia ya kiarabu nao japo waitwe waarabu weusi baada ya hapo watangaze taifa la kidini ya kislamu,kwa hiyo ukiangalia hapo the biggest motivation is the ARABISM,no wonder what will hapen if the arab race is disappear or extinct in the earth surface will znzbaris still have affection with islamic religion,after their icons disappear??!!,kwa hiyo hata hao ccm na cuf znz hawataweza kutawala znzb kwa zaidi ya miaka 2 tangu znzb itakapojitenga na mainland,kwa maana nao watapigwa kumbo na waisllam wa msimamo mkali watakaotaka kutawala kwa sharia law,kwa hiyo wale wanasiasa wa sasa hawatakuwa na nafasi tena illa wataonekana wasaliti huko znzbr kipindi hicho,mwisho wa znzbr ni mbaya sana kwani nisawa na ule wa sudan na somalia sasa,znzbr itatengwa kama sudan ilivotengwa baada ya kutangaza taifa la kidini na mbaya zaidi znz kama sudan ambayo udini wake unachochewa zaidi na kuitwa waarabu zaidi ya uislamu kabla haijatengwa na nchi za maghribi itatengwa kwanza na mataifa yote ya kiarabu halafu yatafuatia yale ya maghribi kama vile sudan na libya zilivofanywa na ndio itakayoipata znzbr kipindi hicho,sasa hivi bashir anajuta kwa nini hakutawala kama dictator wa kawaida tu badala ya kutawala kidini anajuta,na ndivyo walivyojuta somalia na kwingineko mana taifa la kiislam lina madheebu mengi na killa moja linamwona mwenzake anakufuru hivyo haiwezekani kutawala kiislamu,enzi za zamani za kina khalifah ali,umar na abubakr iliwezekana kwa sababu kulikuwa na dini yenye dhehebu moja tu lakini alipoanza madheeb mingi basi ilikuwa ngumu kutawala kutumia dini ya kiislamu.znzb haina future nje ya muungano na hili nalishalisema na nitaendelea kulisema sababu nina uhakika nalo.hao waarabu wanaowatumainia kujifananisha nao watawageuka si muda mrefu kama vile wale wasudan walivyogeukwa leo wakienda gulf na kujiita waarabu hukataliwa na huitwa waafrika!!kinacho wawasha waznzbr ni huo uarabu wanaoulilia kwa gharama zote nitashangaa sijui itakuwaje pale waarabu watakuwa hawapo tena duniani je nao mapenzi yao kwa dini ya uislam ataendelea??hili nina uhakiika nalo kwani waznzbr hawataki kujitenga sababu a mapenzi ya kiislam bali ni sababu a ubaguzi wao wa rangi,na hii ina thibitisha kuwa wao kuwabaguwa waislamu wanaotoka bara ingawaje nao ni waislam ni sawa tu na ubaguzi ule wa sudan si kwa mapenzi a dini bali ni ktk kugombania hadhi ya kanzu ya uarabu mana nao huwabagua sana waislamu waafrika wanaotoka s.sudan na darfur ingawa wote ni waislamu lakini!! kwa hiyo tatizo sio uislamu bali ni UARABU hapa.kitendo chao cha kutaka kujitenga sio kwa manufaa yao ya kiuchumi au kisiasa bali ni katika kukimbilia treni hii ya uarabu na kujitofauitisha na wabara kuwa wao wanahesabiwa kama waarabu!! kwa ukweli hii sio ya kisiasa bali ni ya kiutambulisho wa rangi zaidi ya faida yeyote ile,na ndio mana wakiwaona waislamu waafrika wabara wanawadharau na kuwachukia sana lakini wakimwona muislam mhindi au mwarabu au chotara wa bara huwa wanawanyenyekea sana nafikiri HILI NI MOJA KATI YA KOVU LA UTUMWA AMBALO BADO HALIJAPONA. Wassalam.

Pale Zanzibar kuna "University mojawapo ina affiliation na University ya Khartoum.!!!,(kuna haja kuona kama kuna uhusiano wenye kuhusiana na vikundi vyenye mtazamo wa siasa kali.)

Kuna pressure kubwa kwa influence za mambo ya kigeni kuingia ndani ya Zanzibar,tena Serikali inashindwa kubaini na kupambanua matukio ya kihalifu yanayotokea na kujirudiarudia;mfano kuchoma sehemu za biashara,za watu kutoka bara,matukio yaliyotokea miaka ya nyuma,na sasa matukio yenye kuonyesha wazi hisia za kidini.!!
 
mkuu unaishi nchi gani ,umeshasahau kuwa siasa kali wanachoma moto makanisa

vipi yale makanisa yaliochomwa mbagala na temeke ilikuwa z'bar au ya z'bar yanauma zaidi ila tatizo likitokea z'bar mnapata la kusemea na mnasahau ya kwenu
 
vipi yale makanisa yaliochomwa mbagala na temeke ilikuwa z'bar au ya z'bar yanauma zaidi ila tatizo likitokea z'bar mnapata la kusemea na mnasahau ya kwenu
Iwe Zanzibar au Tanganyika kazi ya kuchoma makanisa, kupiga risasi mapadri, kuchoma mabar na sehemu za starehe, ni kazi y ufadhili wa Saudia kupitia chmbo kinaitwa Wahhabi- tawi la Al Qaeda.
 
Under the peach arches of Al-Noor charitable agency for the needy just outside Stone Town in Zanzibar, a 24-hour Islamic radio station broadcasts religious guidance.

​
Female tourists should wear headscarves and cover their knees, says Mohamed Suleiman Ali, director of Radio Al-Noor, echoing the opinions voiced on radio. “It’s too early to fight for an Islamic state because there are several stages to that, but a lot of things are being done contrary to the teachings of Islam,” he says. “There’s no social responsibility; the government keeps producing more [social] freedom.”

Famed for its beaches, more than 170,000 holiday makers come to Zanzibar every year to swim with dolphins and lie beneath coconut trees. But the relaxed way of life that lures tourists to the mainly Muslim islands off the east coast of Africa is coming under threat from a rise in less tolerant forms of Islam. This is tapping into festering discontent over the island’s sovereignty and beginning to influence social mores.

The islands – which make much of their money from tourism – are home to 1m people and more than 2,000 Muslim religious schools. Most of these draw on a long tradition of moderate and Sufi forms of Islam. But these are underfunded and staffed by volunteer teachers. Increasingly, parents are sending their children to better financed alternatives in a process that is beginning to parallel that taking place across a swath of sub-Saharan Africa from Somalia to Mali, where the growing influence of more radical forms of Islam can be felt.

READ MORE

Duh! It's worrisome!
 
Mkuu Mwanakijiji,

Hii propaganda ya wazungu Kama wamekutuma waambie sio kweli. Ni kweli Zanzibar was predominantly Muslim state practising Sufism . However the introduction of these so called salafism or the most appropriate nameis Wahhabism created a heat. Unfortunate this is a result of the union government to continuous suppress economically Zanzibar. As result massive poverty , high unemployment and politics pave way for oil rich religious sect to penetrate in Zanzibar. Moreover, anger against the union exacerbate this situation. Hivyo kawajibu waliokutuma Kuwa Zanzibar tatizo la extremism wamelisababisha wao na serikali ya Muungano .

Nilikuwapo

When will you accept responsibility? Even if you were seen doing something wrong you would still deny it and say it was somebody else doing it. You are so blind that you can't see anymore.
 
Mkuu,

Kweli nyani hauni masaburi ya wenzieMbona. Bara Huku waislamu ni second class citizen? Mkuu ninarudia tena ni vema serikali itafakari suala zima la huu mfumo kristo. Ni very serious kwani Kama umesikiliza malalamiko ya wazanzibari ni chuki dhidi ya Muungano na Serikali ya Muungano Kama imeziba masikio. Na ukweli underneath ya wote ndio maana hojaza hawa jamaa wa uamsho zinapatanguvu. Utumiaji wa nguvu wa serikali ni kuchochea tuchuki.

Nilikuwapo

Ni misikiti mingapi imechomwa (both Bara na Zanzibar)? Mdondoaji, kwa bahati hili la Zanzibar nina first-hand experience, na kama nilivyosema, ni vigumu kuandika hapa hofu' waliyonayo wakristo. Nimetumia neno 'hofu'. Na matatizo hayakuanza na Uamsho. Makanisa yalianza kuchomwa hata kabla ya Shein hajawa Rais wa Zanzibar.

Na kama tatizo ni muungano, kwanini makanisa yachomwe? Kuna ofisi za serikali ya Muungano huko Zanzibar, kwanini wazisichome hizo ofisi kama kweli tatizo ni Muungano?
 
Freshthinking;Mchungaji kutunguliwa kwa risasi; kuna ushahidi wowote kwamba ni mauaji ya kidini?.....Mkuu the Absence of Evidence Is Not The Evidence Of Absence,...kwanza kila kitu unachokiamini we umekiona?Mengi huwa tunasimuliwa na kuaminishwa,...vilevile kuna mambo mengine hata kama hayana uthibitisho huwa tunayaamini due to the prevailling conditions of the society...Trying to prove everything won't make you smart nor will it change the truth....Philosophy says people see what they believe while Law says believe what you see Mkuu hatupo mahakamani hapa wala hatumtafuti mchawi nani kila mtu anayeongea speaks out of concern of this country.,,...kwanza yanini ushahidi wakati wanzanzibari wa hapa jamvini wanaonyesha tabia za ubaguzi?......the only gud way of proving is to let time itself be the witness....
 
waislamu tehe tehe tehe! ZANZIBAR IS AN EXTREMEST CASE... halafu wanadai muungano wa mkataba....wanapaswa kuchagua, kama upo au haupo....!!!
 
Ni misikiti mingapi imechomwa (both Bara na Zanzibar)? Mdondoaji, kwa bahati hili la Zanzibar nina first-hand experience, na kama nilivyosema, ni vigumu kuandika hapa hofu' waliyonayo wakristo. Nimetumia neno 'hofu'. Na matatizo hayakuanza na Uamsho. Makanisa yalianza kuchomwa hata kabla ya Shein hajawa Rais wa Zanzibar.

Na kama tatizo ni muungano, kwanini makanisa yachomwe? Kuna ofisi za serikali ya Muungano huko Zanzibar, kwanini wazisichome hizo ofisi kama kweli tatizo ni Muungano?

FJM,

Labda hujanielewa au hutaki kunielewa. Narudia tena tatizo la Zanzibar ni Muungano. Umaskini, unemployment, overtaxation, and mfumo kristo have altogether raised hatred against the United republic government. Makanisa kuchomwa ni gradual process of ukandamizaji uliokuwa ukiendelea tangu mapinduzi ya 1964 hadi Leo ( Kawasome historians kuhusu Zanzibar utayaona haya kuanzia Professor Burgess, Dr ziddy, Dr Ghassany, Dr Njozi, Professor Mohamed Said na wengineo wengi).
 
When will you accept responsibility? Even if you were seen doing something wrong you would still deny it and say it was somebody else doing it. You are so blind that you can't see anymore.

I never argue with a fool because people may not notice the difference samahani sana mkuu
 
FJM,

Labda hujanielewa au hutaki kunielewa. Narudia tena tatizo la Zanzibar ni Muungano. Umaskini, unemployment, overtaxation, and mfumo kristo have altogether raised hatred against the United republic government. Makanisa kuchomwa ni gradual process of ukandamizaji uliokuwa ukiendelea tangu mapinduzi ya 1964 hadi Leo ( Kawasome historians kuhusu Zanzibar utayaona haya kuanzia Professor Burgess, Dr ziddy, Dr Ghassany, Dr Njozi, Professor Mohamed Said na wengineo wengi).

Mkuu hapa ndo mnaponiacha hoi kabisa! Kama kweli mmekandamizwa kihivyo tena kwa muda mrefu hivyo,je kuchoma Kanisa ndo kutawaletea ukombozi??? Viongozi wenu wote wa kisiasa katika ngazi zote ni Waislamu bila kujali Vyama vyao, kwa nini kwenye vikao vyao hawalii maumivu ya kukandamizwa? Kwa nini msiwabane hao waibue hizo hoja zenu kwenye vikao? Kama mwaona ni "wanafiki" ndo maana wanashindwa kuwanasua,je kwa nini mnaendelea kuwapigia kura za "ndio" katika chaguzi zenu??? Kuhalalisha uharibifu wa mali za mtu mwingine ni uharamia!!!
 
Mimi mjinga...natoka amazon forest...sijawahi kuona dunia ya sasa...naiashi porini....nisaidieni nataka kumjua Muungu so nisaidieni nijue yafuatayo
  • MUngu ni na nani?
  • zipi sifa na kazi za Mungu
  • JEE Muungu ameifanyia nini Dunia
  • Nani Muungu wa waislam na ameifanyia nini dunia
  • Nani muungu wa wakristo na ameifanyia nini dunia
  • jee muungu wa waislam ameanza lini ?
  • jee muungu wa wakristo ameanza lini

Napenda kufahamishwa kwa kituo nielewe...mimi narejea ni mjinga kuhusu Uuungu

Mmm...Ngoja watumishi waje, manake wewe unaiona live dunia na yaliyomo hala still unahoji Mungu ameifanyia nini dunia!?
 
hakuna znzbr nje ya muungano bali kuna visiwa vinavyomwaga damu!! hakuna cha utalii wala nini ni al-shababu tu.
 
Mkuu Mwanakijiji,

Hii propaganda ya wazungu Kama wamekutuma waambie sio kweli. Ni kweli Zanzibar was predominantly Muslim state practising Sufism . However the introduction of these so called salafism or the most appropriate nameis Wahhabism created a heat. Unfortunate this is a result of the union government to continuous suppress economically Zanzibar. As result massive poverty , high unemployment and politics pave way for oil rich religious sect to penetrate in Zanzibar. Moreover, anger against the union exacerbate this situation. Hivyo kawajibu waliokutuma Kuwa Zanzibar tatizo la extremism wamelisababisha wao na serikali ya Muungano .

Nilikuwapo

Mkuu, heri ungeandika kwa kiswahili. Hiki kidhungu tuwaachie wenyewe.

Amandla.....
 
Kwa bahati mbaya sana utalii ndiyo sekta kuu Zanzibar. Kiuhalisia hawana sekta nyingine yoyote ya kiuchumi ambayo inaingizia pesa Zanzibar kama utalii. Kwa hiyo basi mimi ninge washauri Wazanzibar haswa uongozi Zanzibar ufanye aidha moja wapo ya haya mawili.

1. Private beaches and resorts:

Kuwe kuna beaches na resorts ambazo haziko open to public. Ziwe Western styled kutimiza mahitaji ya hao watalii wanaokuja. Mgeni yoyote kwenye hizo sehemu atambue kilicho ndani kwa hiyo aingie kwa kupenda mwenyewe.

2. Zanzibar iendeleze sekta mbadala. Ukweli ni kwamba utalii ndiyo unainginzia Zanzibar pesa na watalii wengi ni wageni wa kizungu. Simply economics ni supply and demand. Kama ni wazungu ndiyo wengi lazima muweke vitu vitakavyo wapendezesha waje. Kama Zanzibar wanaona utalii umekua kikwazo waendeleze sekta zingine. Kwa sababu ukweli ni kwamba ukiwa nyima uhuru hao watalii wataenda pengine. Kama nyie mnavyo dai haki ya kuenzi utamaduni wenu na wao watakua na haki ya kuto kuja.

Kwa hiyo ndugu zangu Wazanzibar huu ni muda wa maamuzi magumu. Kama kweli hampendi utalii basi wekeni mpango kabisa wa kuendeleza sekta zingine. Kama mnataka kuendelea na sekta ya utalii mjue kwamba watalii wengi ni wazungu na wao wamezoea vitu fulani. Simple matter of choices. Sasa sijui huko kulalamika kuna toka wapi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom