Extraction ya Chris Hemsworth mmeionaje?

8 /10 Sababu wale Drug Lords hawakuonesha ukatili tunaoutegemea kutoka kwa watu wa sifa zao.
 
Endelea ku enjoy pia kwenye io Chanel Kuna Link ya siason zote kal unazo zijua wewe angalia vizur undelee kufuraia pili mfano Kama unatumia sim ukiwa Una download move Kama huto taka kuiangalia Tena baadae uwe unazifuta sababu zikiwa nyingi Sim hua inasumbua ku danload zingine Ila inategemea na ukubwa wa cm yako
Mdau uliyetoa wazo la Telegram ubarikiwe mnoooo hadi ushangae, nimejiunga huko, nimepata movie nilikua naitafuta miaka mingi ndani ya dakika 5 eti imekua kiganjani mwangu,
Kwa wapenzi wa Movies njooni Telegram kumenogaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea ku enjoy pia kwenye io Chanel Kuna Link ya siason zote kal unazo zijua wewe angalia vizur undelee kufuraia pili mfano Kama unatumia sim ukiwa Una download move Kama huto taka kuiangalia Tena baadae uwe unazifuta sababu zikiwa nyingi Sim hua inasumbua ku danload zingine Ila inategemea na ukubwa wa cm yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Nazihamisha kwenye memory card, sema kungekua na option ya kuangalia online bila kudownload ingependeza zaidi
 
Iliniuzi sana jinsi movie ilivyoisha, yaani sterling anauawa?? Tena anauawa na kijamaa kijinga kitoto, kwanini wasingemuokoa???? Yaani hela walisema hawawezi kumpa, wanamlazimisha amtose dogo yeye akajitolea kusema hawezi kumuacha, then anauawa maana yake walitaka afe ili asipate haki yake, director wa hii movie ovyo kabisa. Halafu kuna mazingira hayana uhalisia. Ila inasisimua ingawa mwisho mbaya.
Huyu steling anapenda saana kufa kwenye movie. Kuna movie mojaa inaitwa Red Dawn ambayo North Korea wanaivamia USA napo alikufa

Ingawa inaaonekana jamaa hakufa, kitendo cha yule Ovi kuonekana anaogelea alafu anakaa kwenye maji muda mrefu kama alivyokuwa anafanya Tyler Rake mwanzoni mwa movie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
May be tungoje part two..lakini yule Boss adui alipigwa shaba ya kichwa na yule demu..ngoja tuone!
 
Back
Top Bottom