Extraction ya Chris Hemsworth mmeionaje?

Chris Hemsworth a.k.a Tyler Rake kwa kweli hajawahi niangusha ..ukicheki Thor ukicheki Avengers na zingine nyingi ambazo amesumbua sanaa ndo utajua ukali wa huyu mwamba! ingawa IMDB na mleta mada wamempunja rates ila me nampa tu 9.5/10.
 
Danload telegram app ukisha danload nenda search utaandika , telegram moveii watakuletea channel apo ambayo ndio real zingine zote usanii ukisha ipata io channel utaingia umo Kuna move zote kal na move zote mpya pia utakuta Kuna link Yao ya telegram season utaifollow pia Kama imekua ngumu kuelewa angali comment za mwanzo nimeweka picha za io channel
Leta link ya hizo group zenye movie mpya

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Danload telegram app ukisha danload nenda search utaandika , telegram moveii watakuletea channel apo ambayo ndio real zingine zote usanii ukisha ipata io channel utaingia umo Kuna move zote kal na move zote mpya pia utakuta Kuna link Yao ya telegram season utaifollow pia Kama imekua ngumu kuelewa angali comment za mwanzo nimeweka picha za io channel
telegram unafanyaje kupata movie mkuu nisaidie basi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona tu mnaambiana m danload moveii wenyewe

sema nini Depal naomba danload hii moveii halafu

kesho nipitishie pale pale,danload nyingi nyingi sawa eee?
 
Danload telegram app ukisha danload nenda search utaandika , telegram moveii watakuletea channel apo ambayo ndio real zingine zote usanii ukisha ipata io channel utaingia umo Kuna move zote kal na move zote mpya pia utakuta Kuna link Yao ya telegram season utaifollow pia Kama imekua ngumu kuelewa angali comment za mwanzo nimeweka picha za io channel

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani nimeipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeniuzi sana jinsi movie ilivyoisha, yaani sterling anauawa?? Tena anauawa na kijamaa kijinga kitoto, kwanini wasingemuokoa???? Yaani hela walisema hawawezi kumpa, wanamlazimisha amtose dogo yeye akajitolea kusema hawezi kumuacha, then anauawa maana yake walitaka afe ili asipate haki yake, director wa hii movie ovyo kabisa. Halafu kuna mazingira hayana uhalisia. Ila inasisimua ingawa mwisho mbaya.
Kuna madirector wanamambo ya kichoko sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kusahau movies za Thor,
Naipenda sauti yake nzito na body yake.
ohoooo tena jamaa realy image ya kiume pure na hata movie alio icheza imemfiti sana..Kuna sauti moja naikubali sana, ALRAIGHT MATE IF YOU WANNA SURVIVE DO WHAT I SAID.
 
Back
Top Bottom