External HDD: Best in the Market na Bei zake

External HDD: Best in the Market na Bei zake

Mtangoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
6,163
Reaction score
5,624
Ni External HDD aina gani ambayo ikow well protected (in case ya physical strains/stress kama kuanguka, shockings et al) na bei zake.

Nimeona uvivu ku google ilhali kuna watu hapa wa kuuliza 😉
 
Nimeona uvivu ku google ilhali kuna watu hapa wa kuuliza 😉
tafuta Western Digital (WD) japo bei zake zipo juu kidogo lakini ni brand nzuri sana, yangu natumia mwaka wa 3 sasa bila tatizo..

Features zake
- Password protection and 256-bit hardware encryption
- Automatic backup
- WD SmartWare
- Interface: USB 3.0, USB 2.0 & FireWire 800
- (S.M.A.R.T.) Self Monitoring, Analysis and Reporting Technology
 
Hata Transcend ni nzuri sana, mimi nilinunua 2010 mpaka sasa inapiga kazi mbaya yaani. Pia hii incover la mpira ambalo lincushion HDD hata ikianguka haiwezi kuumia.
 
Katika ulimwengu waa HDD naamini zaidi Seagate,
Ni manufacturer wazoefu wenye muda mrefu katika product hizo!
Jaribu utaubal nikwaambiacho!
 
Hata Transcend ni nzuri sana, mimi nilinunua 2010 mpaka sasa inapiga kazi mbaya yaani. Pia hii incover la mpira ambalo lincushion HDD hata ikianguka haiwezi kuumia.

tafuta Western Digital (WD) japo bei zake zipo juu kidogo lakini ni brand nzuri sana, yangu natumia mwaka wa 3 sasa bila tatizo..

Features zake
- Password protection and 128-bit hardware encryption
- Automatic backup
- WD SmartWare
- Interface: USB 3.0 and USB 2.0
- (S.M.A.R.T.) Self Monitoring, Analysis and Reporting Technology


Bei zake kwa sasa ni kiasi gani?
Mara ya mwisho ninunua Samsung na haikunisumbua mpaka ilipopata majanga na kutoweka!
 
toshibda 1tb kwa 170,00 rangi nyeusi durability sijui nimeiweka kwa ajili brandname ni maarufu. na ina usb port 3.0

rangi ni nyeusi uktaka kuchange bei inaenda hadi 180,000 zipo rangi nyekundu na blue
 
ninauza WD
320gb 115,000
500gb 125,000
1tb . 175,000
1 year warranty.
phone no. 0655 338128
 
upo wapi collezione coz mm nataka hiyo ya 500 gb asee na # zangu ni 0767235407
 
CAREFUL:

.Hakuna Hdd iitwayo transcend - huwa ni casing tu zinapewa hiyo brand.

. Hdd za western Digital ni prone kwa failure. siyo nzuri.


.Hdd za Seagate ndo imara
 
CAREFUL:

.Hakuna Hdd iitwayo transcend - huwa ni casing tu zinapewa hiyo brand.

. Hdd za western Digital ni prone kwa failure. siyo nzuri.


.Hdd za Seagate ndo imara
ni prone kwa failure kivipi? nimefuatilia naona reviews zinaangukia kwenye Western Digital kuwa ndio imara zaidi, sehemu nyingi wanazisifia. angalia ( external hard drive top ten reviews 2013 hapa ---> External Hard Drive Review 2013 | Best Portable Hard Drive | USB Hard Drive - TopTenREVIEWS )external za seagate ndio zinaongoza kwa ubovu.

western Digital 'WD' MyPassport ndio inaongoza..

69115616.jpg

22071435.jpg

88588466.jpg
 
Back
Top Bottom