Ex's funeral..

Ex's funeral..

hahahah...langu limekaa kijeshi jeshi...nikikuta nalo lazima uogope!!!

mhhh makubwa!!! uvae miwani myeusi nisije lia bure!!!!
sasa ndio nini kunitamanisha lakini na masaptosapto ya kitanga wangu?!?!
 
sasa ndio nini kunitamanisha lakini na masaptosapto ya kitanga wangu?!?!

Hicho kiinglish nimeshindwa kukielewa...dikshenari yangu haina hilo neno...eksiplanesheni plizi...
 
all my Ex are such good friends to me, hata sitaki kukaa nikifikiria hii dunia bila wao! dah!
 
Hicho kiinglish nimeshindwa kukielewa...dikshenari yangu haina hilo neno...eksiplanesheni plizi...

madikodiko.......kwenye sahani!!!
u need to upgrade your dikshenary buddy!
 
Sasa ulinikonfyuzi mwenzio nikashindwa kuunganisha dots...hayo madikodiko huliwa mara chache tu hapo Serena

madikodiko.......kwenye sahani!!!
u need to upgrade your dikshenary buddy!
 
....Go go go and rest in peace..... ndo ntamalizia hivyo.
 
JF mnamambo? da! ndo mana napapendaga huku, nina paper lakini bila kuingia huku nikisoma kitu hakiingi kabisa mwanawan
 
Back
Top Bottom