export business (transit by air)

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,283
2,000
habari wanaJF,
kwa siku nyingi sasa,nimekuwa nikiwaza kuhusu export business,hasa kwa kutumia usafiri wa ndege,,target countries zangu zikiwa Scandinavian countries,ujerumani,uingereza na Uarabuni..(any other can apply),my range of products nyingi ni perishable kama vegetables(green beans,cabbage,cauliflower,organic coconuts,fresh ginger,na spices zingine) ,coffee beans,dagaa,pamoja na ngozi(processed leather)...changamoto niliyonayo ni kufahamu mtu anayefanya shughuli hiyo kama anaweza kunielekeza where to start from here.na kama kuna any documents i might need to have ,na gharama za usafirishaji.ahsanteni
nasubiri mawazo yenu
 

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,398
1,225
Nipm ntakupa contact za rafiki yangu yeye anasupply vyakula ktk migodi 7 hapa tz na anasafirisha pia kwenda zambia nipm ntakupatia namba yake anaweza kuwa msaada ila pia kuna website ya nordic countries ntajaribu kukuangalizia then nikupe website itakayokusaidia halafu kuhusu shipping anayelipia ni buyer sio wewe.
 

CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
6,866
2,000
Mkuu International Business ni Very complicated, ni lazima Ujiandae sana tena kwenye ishu ya Ku export vyakula si mchezo kuna Procedure za Kufa mtu za kufuata
 

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,430
2,000
Namuunga mkono Mkuu Chasha hapo juu, kuna ukiritimba mwingi sana ktk ku-export bidhaa za Chakula kwenda huko Ulaya. Kuna huo utafiti pia ulifanywa na Wizara ya Viwanda na Biashara upitie uone yaliyomo utakusaidia.
Otherwise all the best Mkuu.
 

Attachments

Last edited by a moderator:
Top Bottom