Expire date

Slh-slm

Member
Jun 8, 2011
5
1
Jamaa alikaa masaa 4 akitazama cheti chake cha ndoa, mkewe akamuliza mume wng vp leo umekumbuka cku ye2 ya ndoa? Mume akamjibu 'NATAFUTA EXPIRE DATE' siiyoni!
 
Ndoa ndoano,mi naona mungu atubadilishie utaratibu,tuwe kama samaki,jike linaacha mayai somewhere,dume kwa muda wake linapita kurutubisha mayai,hakuna kuoana,tuone nani angeiba mke/mume wa mtu.
 
Back
Top Bottom