Experience yangu ambayo sitaki mtu aipite

Experience yangu ambayo sitaki mtu aipite

Hii nimeiona lakini mpaka huo mfumo ukae kwenye rader na kua adaptable dunia nzima itakua 2090 huko kwahyo kwa kawaida itahitajika miaka mingine karibu 100 ili mfumo uweze kua acceptable all over the world so money is still worth in 100 years to come.
Teknolojia inaenda kasi sana
 
hakuna rais hata mmoja ambaye yeye urais wake ulikuwa rahisi.Huwa wanatofautiana tu ukubwa wa ugumu.labda kwa nchi zilizoendelea ambao changamoto za nchi zao zimepungua.
Sasa kama Kuna ugumu mbona huwa wapo radhi kuua wale wanaoowaona ni tishio kwenye nafasi yao? Kwanini wasiwaache tu ili wawasaidie kwenye huo ugumu?
 
Natoa onyo la mwisho kwamba pesa isifananishwe na vitu vya kijinga.

Hata katika vitabu vya dini hela imetajwa kwamba ni jawabu la mambo yote.... Chai yako ya maziwa pamoja na amani yako vimo ndani ya shekeli
 
Maskini ni kiumbe anaejua kujifariji sana....ni kama maraisi wote wa Tanzania kwa nyakati tofauti walipodanganya kuwa ile kazi ni ngumu mno ila chakushangaza walikuwa wanang'ang'ania ili washinde chaguzi
Umasikini na ujinga ni pipa na mfuniko wake
 
Hata hao wa siasa nao si wana ulinzi safi kabisa ndio maana hatusikii kwamba kimewakuta chechote kile....hiyo inanikumbusha jamaa mmoja mtwara kabla hajaitisha adhana ya alfajiri alikuwa anaanza kutoa vitisho kuanzia saa 10 alfajiri.... anatoa vitisho mara gari hilo halina maana mbele za Mungu mara chumba chako unachojidai nacho ni kaburi hilo mara kitanda hicho ni mwanandani...Mungu mkubwa jamaa huko kijijini kwao ruangwa kwenye mashamba yao mwekezaji akawapa fidia akapata kama milion 10 hivi kwakweli hatukusikia zile kelele tena

😄😀😃🙃
 
Natoa onyo la mwisho kwamba pesa isifananishwe na vitu vya kijinga.

Hata katika vitabu vya dini hela imetajwa kwamba ni jawabu la mambo yote.... Chai yako ya maziwa pamoja na amani yako vimo ndani ya shekeli
Utakunywa vipi chai ya maziwa bila pesa! Pesa ni mwisho wa mambo yote.
Haijalisshi ni pesa nyingi au ndogo, pesa itabaki kuwa mwisho wa mambo yote.
 
Tuachenj kujipa faraja umasikini siyo sifa nzuri.

Wote hapa mnasema eti wenye Hela hawalali kwenye nyumba zao wanaogopa kuibiwa au kuvamiwa, mimi nilitarajia hao wenye Hela ndiyo waje hapa waseme kwamba hawalali kwenye majumba Yao, ila kwakuwa mnawasemea basi hizo ni porojo za masikini waliowengi kujifariji
 
Back
Top Bottom