exemption TRA

engjaphet

Member
Apr 6, 2011
11
1
samahani wadau naomba kuuliza hivi ili kupata exemption TRA ya magari ni lazima gari unaloombea liwe la mwaka 2002 na kuendelea, naomba msaada jamani kwani kuna utata mwingi kwa watu ninaowauliza na ni kodi gani ambazo unasamehewa naomba msaada jamani
 
Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,217
1,253
samahani wadau naomba kuuliza hivi ili kupata exemption TRA ya magari ni lazima gari unaloombea liwe la mwaka 2002 na kuendelea, naomba msaada jamani kwani kuna utata mwingi kwa watu ninaowauliza na ni kodi gani ambazo unasamehewa naomba msaada jamani
Ndiyo nasikia gari lisizidi miaka kumi. Lakini kwa nini ununue gari la muda mrefu kiasi hicho kama vile wanunua trekta?
 
nyasaland

Member
Jul 3, 2009
46
16
yes isiwe zaidi ya miaka kumi na ukiangalia valuation ya used vehincle ya sasa itakufanya hata ulipe kodi kidogo kwa kodi zile ambazo hutapatiwa exemption only if it is less than ten year
 
quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
385
130
uwe mfanyakazi wa serikali, gari yako isizidi cc 3000, na isiwe na umri wa zaidi ya miaka 10 na kodi zinazosamehewa ni import duty na excise duty
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom