domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,588
- 1,758
Hivi kama hamna uzalendo na taifa lenu mtaendelea?
Usipoteze mjadala, katika science ya argument hiyo tunaiita red herring. Tetea hoja yako ya mwanzo.
Hivi kama hamna uzalendo na taifa lenu mtaendelea?
Acha kuingiza kinyesi wewe,katika watu wakenya nao ni watu? Mkikuyu haingii ofisini kwa jaluo hapo unasema kuna nchi,wewe ushakana utanzania kaa tu huko Mombasa naona kumekukoleaKikubwa kinachoimaliza tanzania ni watz wenyewe kukosa uzalendo na nchi yao unlike kenyans,inapokuja maneno kuhusu nchi ,kenyans stand as one
Na wewe njooAcha kuingiza kinyesi wewe,katika watu wakenya nao ni watu? Mkikuyu haingii ofisini kwa jaluo hapo unasema kuna nchi,wewe ushakana utanzania kaa tu huko Mombasa naona kumekukolea
Ili niwe shoga?Na wewe njoo