Exclusive Photos toka kwa Mchungaji Ngwajima

Siajabu ulienda kuombewa;Upate kazi.Na kazi iliyokupeka ni hii hapa.
 
Hivi swala la umaskini limeletwa na Gwajima?
Maskin wapo kila kona ya nchii,watashindwaje kufika hapo pasipo na kiingilio?
Wengne wanakusanywa na mabasi mpka kwenye mikutano ya kisiasa,baada ya hapo wanakula wali maharage.
Sasa nashangaa kusikia kwamba wengi walio hapo ni wale waliokataa tamaa na maskini.Amazing,vp khs hosptalin?
 
sasa cha ajabu nini shida mmezoea kuona wachungaji maskini hamjui Roho wa Bwana amewavuvia watumishi waMungu kuwa watakuwa mamilionea endeleeni kushangaa acheni kusoma maandiko " Ufalme wa Mungu Utatekwa na wenye Nguvu" unajua maana ya hilo andiko....haimaanishi kunyanyua chuma ni Nguvu ya kiuchumi asikiaye na afahamu
Mkuu, ninavyofahamu mimi maana ya andiko "tangu siku za Yohana mbatizaji hata sasa ufalme wa Mungu huchukuliwa na wenye nguvu", ina maana ya kwamba NGUVU YA MUNGU IPO KATIKA NENO LAKE.Ukisoma biblia kitabu cha mwanzo, Mungu aliumba mbingu pamoja na jeshi lote na nchi na vyote viijazavyo kwa neno.Alisema " iwe" na ikawa. Kwa hiyo wale walio na bidii katika neno ndio watakao utwaa ufalme wa mbinguni.
 
Sio kweli kwamba Ngwajima huhubiria akiwa kivulini, mimi nimeshawahi kuhudhuria hapo kanisani mara kadhaa, na mara zote amekuwa akitumia muda mrefu kuhubiria na kuzunguka kwa waumini kuliko muda anaotumia akiwa jukwaani. Hutumia muda mrefu sana akiwaombea watu humu juani, hata kukiwa na mvua huwa anashuka kule chini.

Na kuna video nyingi tu youtube zinazomuonesha huyo mchungaji akihubiria huku kwa waumini. Tuache kupotosha watu pale kanisani kuna mabasi mengi na yale ambayo hutumika kwa siku husika hukaa nyuma sio hapo palipopigiwa picha.
 
Tatizo mtu anakurupuka na kuandika uongo,hizo ni dhambi
 
acha uongo wewe,mchungaji huyo huwa anashuka na kutembea eneo zima la kanisani kwake akiombea waumoni wake
 
Hivi swala la umaskini limeletwa na Gwajima?
Maskin wapo kila kona ya nchii,watashindwaje kufika hapo pasipo na kiingilio?
Wengne wanakusanywa na mabasi mpka kwenye mikutano ya kisiasa,baada ya hapo wanakula wali maharage.
Sasa nashangaa kusikia kwamba wengi walio hapo ni wale waliokataa tamaa na maskini.Amazing,vp khs hosptalin?

Sio kweli nenda mwezi mmoja ili upate ukweli zaidi
 
Leo nimetembelea kanisa la huyu Jamaa kujionea mwenyewe 'miujiza' na Hii ndio ripoti kwa Kifupi;

1. Ibada inafanyika eneo la wazi kwenye jua kali (sipati picha mvua ikinyesha) huku yeye Ngwajima akihubiria kivulini na wasaidizi wake. Ingawa waumini wachache wana miamvuliw wengi wao wanasotea 'upako' juani

2. Wengi wa waumini ni watoto na wanawake, hii nadhani inatokana na sababu kuwa katika jamii wenye 'shida' ni wanawake kwa kiasi kikubwa. Pia wengiw wa waumini ni wa kiwango cha maisha ya kawaida kama yangu na chini sana.

3. Kuna usafiri kwa ajili ya waumini mabasi mengi ni machakavu yana hata pancha na vioo kuvunjika. Nahoji usalama wa abaria and wanaotumia huduma hio.

4. Kanisa lina vitengo mbali mbali kama Information Ministry, Children Ministry, etc ni mpangilio mzuri kuonyesha kuwa amejipanga 'kibiashara'

5.Kuna walinzi wamevaa suti nyeusi mithili ya Secret Service wa Obama na wana miwani myeusi najiuliza wanalinda hadhara au Mchungaji asije shambuliwa na bwana Mbasha. Bwana Ngwajuma akiwa anawaombe waumini kwa karibu husogea ukingoni kabisa wa jukwaa na hawa jamaa huwa sambamba nae, inawezekana wana Bastola kabisa na ni maSnipper..

Itaendelea...

Nenda tena kamara nne na uwe unawahi sana. Utapa uhalisi zaidi wa ufufuo na uzima. Utakuja na hitimisho zuri zaidi kuliko hili
 
Hii ni economic model tu, kutegemea au kulazimisha kwamba wote waneemeke ni kupotosha watu, labda upendekeze model itakayowawezesha wote kuneemeka.

Mpe hesabu ndogo kwanza huyu mtu: muulize watu mia tano (waumini) wenye shilingi kumi kila mmoja wakitoa sadaka ya shilini moja kila mmoja kanisani: mchungaji atakuwa na shilingi ngapi na hao waumini watapungukiwa nini kwa kutoa shilingi moja katika kumi?
 
Leo nimetembelea kanisa la huyu Jamaa kujionea mwenyewe 'miujiza' na Hii ndio ripoti kwa Kifupi;

1. Ibada inafanyika eneo la wazi kwenye jua kali (sipati picha mvua ikinyesha) huku yeye Ngwajima akihubiria kivulini na wasaidizi wake. Ingawa waumini wachache wana miamvuliw wengi wao wanasotea 'upako' juani

2. Wengi wa waumini ni watoto na wanawake, hii nadhani inatokana na sababu kuwa katika jamii wenye 'shida' ni wanawake kwa kiasi kikubwa. Pia wengiw wa waumini ni wa kiwango cha maisha ya kawaida kama yangu na chini sana.

3. Kuna usafiri kwa ajili ya waumini mabasi mengi ni machakavu yana hata pancha na vioo kuvunjika. Nahoji usalama wa abaria and wanaotumia huduma hio.

4. Kanisa lina vitengo mbali mbali kama Information Ministry, Children Ministry, etc ni mpangilio mzuri kuonyesha kuwa amejipanga 'kibiashara'

5.Kuna walinzi wamevaa suti nyeusi mithili ya Secret Service wa Obama na wana miwani myeusi najiuliza wanalinda hadhara au Mchungaji asije shambuliwa na bwana Mbasha. Bwana Ngwajuma akiwa anawaombe waumini kwa karibu husogea ukingoni kabisa wa jukwaa na hawa jamaa huwa sambamba nae, inawezekana wana Bastola kabisa na ni maSnipper..

Itaendelea...
Nmeipenda hii unaweza kuniuzia?
 
sasa cha ajabu nini shida mmezoea kuona wachungaji maskini hamjui Roho wa Bwana amewavuvia watumishi waMungu kuwa watakuwa mamilionea endeleeni kushangaa acheni kusoma maandiko " Ufalme wa Mungu Utatekwa na wenye Nguvu" unajua maana ya hilo andiko....haimaanishi kunyanyua chuma ni Nguvu ya kiuchumi asikiaye na afahamu

Jina la MUNGU limetekwa na wezi sio wenye nguvu. Aende akawafufuwe matajiri wamefariki Kenya mfululizo.
 
Back
Top Bottom