Nafikiri CHADEMA pengine sasa wataelewa kuwa manunguniko na malalamiko hutolewa na wale wanaoonewa. Pale Wazanzibari tulipokuwa tukifanya hivyo watu hapa walikuwa wakisema eti ooh, walalamishi tu. Sasa mlione nanyi, kila siku malalamiko!
chadema walitoa tamko hilo lini chadema imekuwa ikipinga uhuni wa serikali ya ccm mfano kwenye swala yule sheikh aliebambikiwa kesi ya ugaidi, chadema kupitia prof. safari na mabere walikemea vikali....
Habari za Jumapili WanaJF.
Tuko live kuwaletea yatakayozungumzwa muda si mrefu hapa Makao Makuu ya CHADEMA Mtaa wa Ufipa, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ni Mkutano wa ghafla juu ya harakati chafu zinazoendelea kufanywa na Serikali, CCM, na Jeshi la Polisi dhidi ya Chama chetu. Karibuni sana
mi naichukia sana ccm na mapolis ccm!Naichukia chadema!!
Huyu Jamaa huwa nahisi namfahamu. Walikuwa Class moja na mwigulu na pale mazengo Huyu tulikuwa tunamwita Honorable. Hii ilitokea baada ya yeye na mwigulu kugombea U-HP na yeye huyu honoramble akashinda. Hili Jina Honorable lilikuja baada ya
yeye kuwa anapenda sana kusema Honorable...... Honorable.........Sidhani kama hisia zangi si sahihi. Sura ni ile ile japo kabadilika kutokana na madhara aloyapata.
Kwa namna hii natilia shaka kuwa huyu bwana alimwagiwa Tindikali, yaweza kuwa alishadhurika tu huko anakojua yeye, baada ya kukutana tena na mwigulu wakaunda Dili.