Exclusive: CHADEMA yafichua mbinu za kukiua chama - June 23, 2013

Huyo ni janga la Taifa Mkuu mpaka amalize muda wake nchi yetu itakuwa haitamaniki na si ajabu Watanzania wengi wasio na hatia watakuwa wamefungwa au kupoteza maisha yao katika mazingira ya kutatanisha.


Wa kulaumiwa ni JK hawa wote ni vimburu tu wa kutumwa.
 

mzee, tunakujua we ni padre, lakini kwann unafadhili vitendo vya kinyama vya kumwagia watu tindikali, kulisha watu sumu na kutishia vikongwe na walemavu kwa pistol? Hoja ya rejao ina uzito kwa sababu wale mawakili hawafanyi kazi ya kanisa, wana watoto na familia zao zinazohitaji kula na huduma zingine mhm za kijamii. Note tht[/QUOTE]

nyie vikaragosi msiotaka kufikiri tuwafanyeje? Mlitaka hao wanaobambikizwa kesi na tuhuma na chama cha ccm waozee jela na rumande? Ccm au serikali waliwawekea mawakili? Fikirieni kwa kutumia akili na si matundu
 
Kwa hali hiiingawa Bunge la Bajeti linaendelea lakini shughuli zote za maendeleo kwa sasa zimesimama na kinachofanyika sasa ni kuishughulikia CHADEMA, kauli aliyoitoa Wasira kuwa CHADEMA itakufa 2013 ndiyo inawasumbua CCM wanachofanya sasa ni kutaka kuhitimisha kauli hiyo kitu ambacho kamwe hakiwezekani. kwani bila CDM Hakuna upinzani katika nchi hii na huwa najiuliza kila siku kwa nini CCM walikubali mfumo wa Vyama vingi walikuwa hawajui matunda yake?
 
Ccm kinaelekea kufa, na hivi vyama vikubwa au marais madikteta wanapoelekea kuanguka huwa kuna umwagikaji mkubwa wa damu, sina 4mani kuwa ccm hii ina muda mrefu, i think the party is falling
 
Unajua hii kuna watu watakuja kufa....WATANZANIA watafanya sherehe...haya...
 
kwa mtazamo wangu ni kuwa polisi wanajua in and out kuhusu njama za chadema. walichokifanya ni kutokurupuka ili wakilipua asiwepo wa kubaki. kwa bahati mbaya hilo chadema hawakuliona. wakaendelea kutenda makosa na sasa wanalipuliwa wanaanza kujambajamba
Unajua hii kuna watu watakuja kufa....WATANZANIA watafanya sherehe...haya...
 
Duuuh!! Ndg, unamfahamu Mhe. Lawrence Kaduri, Jaji au ndio upotofu na siasa chafu?

Halafu, huyo Mhe. Kaduri ni JAJI wa High Court na SIO HAKIMU kama ulivyojaribu kuonyesha kuwa unafahamu.

Normally, kama ungekuwa ni shahidi mahakamani/ barazani au kwenye tume, basi ushahidi wako na wewe mwenyewe pamoja ungefanywa sio bora na/ au hauaminiki kwakuwa unaonyesha na unasema uongo.

Tunaofahamu, hatuwezi kukubaliana na ww kwa upotoshaji wa heshima na kazi ya Mhe. Kaduri, J., and, mashitaka ya ugaidi dhidi ya Lwakatare yalikuwa ni uwongo (frivilous) kwasababu viashiria (elements) au vitendo (acts) dhahiri vya ugaidi havikuwa wazi hata kidogo.

Mwisho, mbona ujinga unafundishika, ni kwanini usijifunze kuwa au kusema ukweli tupu?
Wewe hujui kitu. Dr slaa ndo anajua kila kitu na ndo maana kanyuti baada ya kuelezwa ukweli. Au wewe ndo dr slaa umekuja kivingine? Au wewe ndo jaji kaduri?[/QUOTE]

Unajua hii kuna watu watakuja kufa....WATANZANIA watafanya sherehe...haya...
 
Mnyika ; sisi JF sio wanywaji kahawa; Peleka haya maneno kwa wanywaji kahawa ndo uwape uzushi huu ;we are greater thinker

mnyika.jpg
 
Wewe hujui kitu. Dr slaa ndo
anajua kila kitu na ndo maana kanyuti baada ya kuelezwa ukweli. Au wewe
ndo dr slaa umekuja kivingine? Au wewe ndo jaji kaduri?

Unajua hii kuna watu watakuja kufa....WATANZANIA watafanya
sherehe...haya...[/QUOTE]

Akifa fashist na dikteta Dr. Fastjet watanganyika tutafanya sherehe kubwa.
 
Kila mmoja wetu kwa imani yake amlilie Mungu wake ukweli ukapatikane mapema kabla hawajaumizwa wasio na hatia
 
Na aliyemwua Mwangosi je? CHADEMA nanyi jipangeni kujua hatima ya Mwangosi, Ulimboka, nyie acheni kulaza ushahidi wakati watanzania wanakufa kama kuku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom