Exclusive: CHADEMA yafichua mbinu za kukiua chama - June 23, 2013

chadema itajiua yenyewe.

Si kimeshakufa? Kwani kife Mara ngapi? CDM wanapenda sana kutafuta sympathy ya wananchi Kama hamjatenda why you worried? Mnajua mlichokifanya ndio maana mnabwata sana sasa. Nyie ni magaidi wakubwa sana na kwa hakika Mola atawaadhibu kwa haya muyafanyao
 
Hiki ni chama cha kigaidi na janga kubwa sana kwa taifa hili,hata iweje lazima watanznia ipo siku watakijua vyema na kukiataa.
 
Tatizo la maproffessor wanaoamua kuwa chadema nao wanakuwa na busara kama za zero ambaye ni form six drop out na mwenyekiti wao, wote wamekuwa wajinga wajinga tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom