Exclusive: CHADEMA yafichua mbinu za kukiua chama - June 23, 2013

kama kawaida ccm chama cha kizalimu,kuwabambikia watu kesi,chama cha mauaji,mafisadi mwisho kabis watu wasiokuwa na akili nzuri(low IQ)
 
Habari za Jumapili WanaJF.
Tuko live kuwaletea yatakayozungumzwa muda si mrefu hapa Makao Makuu ya CHADEMA Mtaa wa Ufipa, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ni Mkutano wa ghafla juu ya harakati chafu zinazoendelea kufanywa na Serikali, CCM, na Jeshi la Polisi dhidi ya Chama chetu. Karibuni sana

Kwanini hao CHADEMA wasiishtaki serikali ya CCM kwa sababu wana kila sababu ya kufanya hivyo, kwa wao kusema tu kwenye vyombo vya habari mie sioni kama inasaidia, zaidi naona wanatuzungusha tuu. Wapeleke hayo maswala kwenye vyombo husika ili tubaki na maswala ya kuikomboa nchi sio kila siku CCM, na CHADEMA tuu
 
cdm isiogope mbinu za mashaitwan wa kijani maana HATA SIKU MOJA uovu hauwezi kuushinda UKWELI!
 
mzee, tunakujua we ni padre, lakini kwann unafadhili vitendo vya kinyama vya kumwagia watu tindikali, kulisha watu sumu na kutishia vikongwe na walemavu kwa pistol? Hoja ya rejao ina uzito kwa sababu wale mawakili hawafanyi kazi ya kanisa, wana watoto na familia zao zinazohitaji kula na huduma zingine mhm za kijamii. Note tht

nyie vikaragosi msiotaka kufikiri tuwafanyeje? Mlitaka hao wanaobambikizwa kesi na tuhuma na chama cha ccm waozee jela na rumande? Ccm au serikali waliwawekea mawakili? Fikirieni kwa kutumia akili na si matundu[/QUOTE]

Una ushahidi na unayoandika??
 
Kwahiyo tukio la mwaka 2011 leo ndio watuhumiwa wanakamatwa tena kwa mfululilizo wa kasi ya kiasi hiki, inatia shaka kidogo lakini kama lengo ni kuipoteza dira ya BOMU LA ARUSHA, watakuwa wamefikiri kwa kutumia masaburi. hiyo orodha ya mawakili POLICCM wakishinda kesi natasitisha kula japo kwa siku moja.
 
acha ujinga ww, mungu hawezi kuwa na wamwagia watu tindikali, acha ushirikina

Mjinga ni wewe tena mpuuzi na usiye na huruma kwa sababu baba yako ni katibu kata na mnaendesha maisha kupitia ccm ndo maana unaona maisha ya watu si kitu...ila nakupa pole kwa sababu umefungwa na kunyweshwa rangi ya kijani
 
Habari za Jumapili WanaJF.

Tuko live kuwaletea yatakayozungumzwa muda si mrefu hapa Makao Makuu ya CHADEMA Mtaa wa Ufipa, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ni Mkutano wa ghafla juu ya harakati chafu zinazoendelea kufanywa na Serikali, CCM, na Jeshi la Polisi dhidi ya Chama chetu. Karibuni sana

Nafikiri CHADEMA pengine sasa wataelewa kuwa manunguniko na malalamiko hutolewa na wale wanaoonewa. Pale Wazanzibari tulipokuwa tukifanya hivyo watu hapa walikuwa wakisema eti ooh, walalamishi tu. Sasa mlione nanyi, kila siku malalamiko!
 
Hapo ndipo watz na CDM tutamuona Mungu akiwa upande wa watetesi wa HAKI, UKWELI NI KWAMBA CCM NA UONGOZI WAO WANAPANGA KUHUJUMU CDM NA MATUMAINI YA WATZ.
LAKINI WASISAHAU KWAMBA HAWAHUJUMU CDM ILA WANAPANDIKIZA HASIRA KWA WATZ, TUWACHUKIA CCM NA MILELE NA UZAO WAO,
 
Kwanini hao CHADEMA wasiishtaki serikali ya CCM kwa sababu wana kila sababu ya kufanya hivyo, kwa wao kusema tu kwenye vyombo vya habari mie sioni kama inasaidia, zaidi naona wanatuzungusha tuu. Wapeleke hayo maswala kwenye vyombo husika ili tubaki na maswala ya kuikomboa nchi sio kila siku CCM, na CHADEMA tuu

Nakubaliana nawe lakini kuna sura nyingine kwenye wazo lako. Moja, Vyombo vingi vya dola vimewekwa na CCM. Viongozi wakuu katika vyombo vyote vya dola ni teuzi za Mwenyekiti wa CCM. Wote wana allegiance kwa CCM. Unachoshauri ni Chadema wapeleke keshi ya Nyani kwa ngedere.

Pili, kadri muda unavyoenda ndivyo Serikali inavyodhihirika kuhusika na Mbinu chafu kukisaidia CCM. Kwa hiyo pamoja na haja kubwa iliyopo ya ku-"fight back," kile ambacho Chadema inafanya ni sawa na "Give CCM a longer rope to hang themselves with." Hii mbinu ya longer rope ni effective ingawa inagharimu maisha ya watu sasa.

At the end of the day sehemu sahihi inaweza kuwa mahakama za kimataifa kama The Hague (sp?. Kwa upande wangu njia sahihi si kutumia vyombo vya dola kwa sababu vipo one sided. Njia sahihi kudeal na CCM kwa hapa tulipofikia ni kutengeza an internal para military deterrent force na kutumia mahakama za kimataifa. A two-front warfare.
 
hii mijamaa inataka kutumia kila mbinu ibaki madarakani. Ipo siku yatatimia tu ccm wataondoka madarakani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom