Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

Mpaka sasa hatujaona faida yoyote ya jiji la Dar kuwa chini ya UKAWA, hamna ahadi yoyote waliyotimiza mpaka sasa.

Kila siku wanaendesha propaganda mitandaoni na kuongelea mambo yasiyo na tija kwa wananchi, ikiwemo hili lá bashite.

Chadema hakuna wanachofanya alafu wakishindwa uchaguzi wanakuja kulialia hapa eti wameonewa. !!
Hivi matatizo ya wananchi kama maji, barabara, afya, ajira mngeyashikia bango kama mlivyoshikia bango vyeti vya bashite, ingekuwaje??
Si Dar ingegeuka pretoria ndani ya mwaka mmoja??

Hivi ahadi za chadema kwa wananchi ni vyeti vya Bashite??
Au ndio ngada za mwenyekiti zimeharibu bongo zenu??

Ni hayo tu, tukutane 2020

Hivi wanao dai vyeti vya Bashite ni CHADEMA ?

Je wanao DAI vyeti feki vya wafanyakazi wengine serikalini ni CUF?

CONNECT THE DOTS PLSE.
 
Cha ajabu alifeli bibble knowledge alafu akaenda kuhubiri kanisani mbele ya wachungaji wasomi kabisa.
 
Yaan kweli kujua mke wa Adam anaitwa Nani, nuhu alikuwa Na watoto wangapi,kutaja amri kumi, WANAFUNZI WA Yesu kuwataja tu, story ya zakayo mfupi, yohana mbatizaji, yusufu kule misri, aiseeee dar mnaongozwa Na mtu aliyeshindwa haya????? aaaaghhhhh
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Jamaa wamekaa kama wachawi, yaani hawaamini kwamba Makonda hatumbuliwi.
Roho zimejaa chuki, yaani mtu anakaa kusubiri breaking news kwamba Makonda katumbuliwa. Siku zinaenda Jamaa hatambuliwi basi mijamaa imenuna inatamani kupasuka.
Wakilala Wakiamka bado RC niyuleyule, safariii mmegonga mwamba. Macho kama wanga.
 
Hivi una mme kweli wewe??
Unayo akili hata ndogo tu ya kupanua miguu kweli?

Wakati mnawaahidi wananchi kuwa ipeni ukawa jiji la Dar ipae kimaendeleo kumbe mlikuwa mnasema uongo??
Saa nyingine ingekuwa inaruhusiwa watu kama wewe mlitakiwa msiruhusiwe hata kuzaa kwani mtajaza mazombi mtaani, una akili ndogo sana kujadili kitu kikubwa kama hiki.
Unajua kazi za Meya wa jiji na mkuu wa mkoa? Umejaribu hata kujiuliza mipango ya jiji la Dar kupitia hao chadema? Kama serikali yako inakimbizana nao mahakamani kila siku na ushirikiano nao ni sifuri hiyo tija utaiona wapi?
Zuzu kama wewe ndio mnaosababisha Rais ashambuliwe huku, sasa kama wewe ni mwanachama kweli wa ccm kwanini tusimuunge Rais mkono kuounguza idadi ya wajumbe wa mkutano mkuu na viongozi mizigo kama wewe.
 
tapatalk_1489939258385.jpeg
 
Tumeshajua kuwa mlitudanganya mwaka 2020 tunafuta chadema Dar.
Kumbe hamna tija yoyote
 
Acheni kutufanya wapumbavu hatujui chochote.....MANENO mengi sana mmeyasema kuhusu Makonda,eti ana zero..oooooh hana cheti....mara cheti chake tunacho!!!!!
Hivi nyie mavuvuzela nani kawatuma?mmetumwa na wauza unga?maana haingii akilini mwenye zero awe na cheti.......haiwezekani cheti cha mtu awe nacho mtu mwingine.....je GWAJIMA anaesema anacho cheti cha makonda amekitoa wapi???,aaaaache maneno akapime DNA.
 
Back
Top Bottom