Division Four ya 35 si ni Zero jamani au?Cheti cha zero!! Cjawahi kukiona maishani mwangu
Kama sio lazima kuonesha vyeti, mbona anatumia nguvu kubwa kulazimisha clouds kufanya atakayo yeye ili watu wasihoji kuhusu vyeti vyake?Kwani kuweka wazi vyeti ni lazima? Sheria gani inamlazimisha?
Hata kama kweli ni cha bashite bado hamjaprove kuwa makonda ni bashiteAngalia hapo juu kuna statement of results siyo cheti
Ndio hakinaga chetiDivision Four ya 35 si ni Zero jamani au?
Tunataka NECTA waje wakane ili tusiyatambue otherwise utabaki kua ni uthibitisho mpaka watakapokanushahuu nao ni udhibitisho? mbona hayo watu wanayo kitambo tu
Ha ha ha ha lazima ufe mwaka huuCheti kimechukua muda mrefu kutengenezwa jamani
Ha ha haaaaaa na bado
Kanisa limekuwa sehemu ya mengine, sijui viongozi watoa vibali wapo wapi. Nchi inachezewa kama haina Rais
Makonda oyeeeeeeeeeee
This is good stuff for Nyumbus and Mbururas.
Tangu lini NECTA ikatoa cheti kwa Div 0.
Result slip kwa kiswahili inaitwaje? Eehhhhe basi ndio hiyo,sisi tutaita cheti mpaka bakita watoe neno sahihiCheti cha zero!! Cjawahi kukiona maishani mwangu
Wanatoa mkuu..transcripts zinatolewa za matokeo yeyote chief necta pekee sio shuleTangu Lini NECTA wakaanza kutoa vyeti vya Division 0?
Sikubaliani na Swala la Bashite lakini hebu tusipelekeshwe kama mazuzu.
Mkuu hicho ni kielelezo cha kwamba nchi hii imejaa wajinga, na haishangazi Bashite anapata watetezi wajinga wajinga! Hata hawajui kuwa hiyo ni results slip, kwanini hawashangai kwamba Bashite anapata ujasiri wa kuvamia Clouds lakini anakosa ujasiri wa kuitisha press conference na kuonyesha cheti chake cha kidato cha nne?Acheni kujitoa ufahamu ishu kuu ni matokeo yanayothibitisha Bashite kupata zero na hiyo ni results slip wame print kama ni uongo basi Bashite akamfungulie mshtaka na aweke vyeti halisi
Hiyo zamani yako ni lini mkuu? Wakati Bashite mwenyewe amemaliza miaka ya 2000 na kadhaa!Kama umezaliwa 2000s utajulia wapi...? Zamani hata ukiwa na div -0 unapewa cheti
Cheti kimechukua muda mrefu kutengenezwa jamani
Ha ha haaaaaa na bado
Kanisa limekuwa sehemu ya mengine, sijui viongozi watoa vibali wapo wapi. Nchi inachezewa kama haina Rais
Makonda oyeeeeeeeeeee
Zamani walikua wanapata Mkuu. Fa fa fa fa zako zote wanakupa na cheti.Ndio hakinaga cheti