Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

Kwani kuweka wazi vyeti ni lazima? Sheria gani inamlazimisha?
Kama sio lazima kuonesha vyeti, mbona anatumia nguvu kubwa kulazimisha clouds kufanya atakayo yeye ili watu wasihoji kuhusu vyeti vyake?
 
Chanini! Wa tanzania million 20 wenye akili timamu na kupiga kura, roho zao zimesimama wengine wanaanguka presha kwa kutokujua tu u sahihi wa jambo hili uko wapi, basi kama Gwajima katoa vyeti ni faraja moja wapo
 
Cheti kimechukua muda mrefu kutengenezwa jamani


Ha ha haaaaaa na bado

Kanisa limekuwa sehemu ya mengine, sijui viongozi watoa vibali wapo wapi. Nchi inachezewa kama haina Rais


Makonda oyeeeeeeeeeee
Ha ha ha ha lazima ufe mwaka huu
 
Mnakosaga la kufanya waTanzania wenzangu...ndo maana umasikini unazidi kukorea kwa kukosa cha muhimu kufanya na kujali yasiyokuwepo au yasiyo na faida
 
Gwajima msanii,tangu DV.0 . cheti kitoke hata enzi za Nuhu haikuwahi kutokea kutoka Cheri achaneni naye mpiga dili tu Gwajima
 
Jamani Jamani
1489917216700.jpg
 
Acheni kujitoa ufahamu ishu kuu ni matokeo yanayothibitisha Bashite kupata zero na hiyo ni results slip wame print kama ni uongo basi Bashite akamfungulie mshtaka na aweke vyeti halisi
Mkuu hicho ni kielelezo cha kwamba nchi hii imejaa wajinga, na haishangazi Bashite anapata watetezi wajinga wajinga! Hata hawajui kuwa hiyo ni results slip, kwanini hawashangai kwamba Bashite anapata ujasiri wa kuvamia Clouds lakini anakosa ujasiri wa kuitisha press conference na kuonyesha cheti chake cha kidato cha nne?
 
Cheti kimechukua muda mrefu kutengenezwa jamani


Ha ha haaaaaa na bado

Kanisa limekuwa sehemu ya mengine, sijui viongozi watoa vibali wapo wapi. Nchi inachezewa kama haina Rais


Makonda oyeeeeeeeeeee

Duh kweli nchi hiyo ina makondoo

Na we unaweza kuwa ndi lijikondoo nambari uno
 
Back
Top Bottom