Excellent na Washawasha

Kabakabana umejaribu kuwa PM? Sometimes watu tunaingia JF ila hatuchangii...
 
mrudishe yule kwanza, nimwone yuko salama.
Asije enda kujinyonga bure, bibi yake alikuwa mhehe

hehehe jamani my wii kwani hujui nimepata mwingine? Huyo excellent kabaki kuwa rafiki tu,vipi unajua alipo?
 
lakini si kawaida ya hawa watu,tumezoea kuwaona wakiwa active
Kweli kabisa... Ila watakusoma na watarudi tu. Waashawasha kule utambulisho, na Excellent kule jokes. Hata KAtavi kapotea kidogo nadhani.
 
mrudishe yule kwanza, nimwone yuko salama.
Asije enda kujinyonga bure, bibi yake alikuwa mhehe

hahahaha my wii wewe mgomvi sana.Ndo maana ana hasira sana,kumbe ana asili ya uhehe
 
Kweli kabisa... Ila watakusoma na watarudi tu. Waashawasha kule utambulisho, na Excellent kule jokes. Hata KAtavi kapotea kidogo nadhani.

ni kweli kapotea,jamani jf inawakosa kweli
 
mwongeze na Preta sijui nini kimempata. Nilimsoma kwenye thread ya msiba wa Regia tu.

ha ha....nipo fungate ndugu yangu.......watu hawataki tuingie JF......
 
Excellent kadakwa saudia na viza feki, washawasha jirani yake anaemuazima laptop ya kuingilia JF kahama kitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…