Ex wako akirudi kuomba kuyajenga. Atakuwa na maana gani?

Habari za masiku wakuuu
Umeachwa na mpenzi wako tena anakuringia wewe sio mzuri Sana ni wa kawaida kuna watoto grade one wanaomba nafasi kila siku kazi kwangu kuwachagua ..

Anakuonyesha wazi akiwa na mwanamke...... Then anakuambia ... Naomba turudiane tuwe Kama zamani.... Hivi uyo atakuwa anataka nini.....?

Anakusistiza ukiwa na Mimi maisha yako yatakuwa mazuri..."hawa wanawake siwapendi nakupenda wewe tu " ..... Is this man serious of is saying.......? Wadau niambieni huyu mtu ni wa aina gani??
anatka kuriwand tena kama bado utamu upo :):p
 
Ulishampatia chances za kutosha na hakujirekebisha sembuse hii moja anayoomba?

Wewe huja move on na maisha yako kwani??

Ni muda gani toka mmeachana had sasa?


Au bado unampenda?

Mwisho wa siku wewe ndio mwamuzi wa mwisho lakini ina manisha kwamba kuna anchokikosa alikokua huko na wengine pengine anakutest tu aone n maji mara moja? Pengine anahitaji kujirekebisha kweli japo n too late yote yanawezekana


Endelea na maisha yako utampata alie sahihi
 
Anakusistiza ukiwa na Mimi maisha yako yatakuwa mazuri..."hawa wanawake siwapendi nakupenda wewe tu " ..... Is this man serious of is saying.......? Wadau niambieni huyu mtu ni wa aina gani??
Hiyo paragraph ya mwisho yani ni sawa na kukwambia anakusaidia kwa kurudiana naye.
Kwamba maisha yako wewe yatakuwa mazuri ukirudiana naye yake yako sawa tu wala usinaindi ukimuona na wanawake wengine atakuwa anawachezea tu....
Funny eh...that boy is trying to make a joke.
 
Unajua vile inakuwanga vigumu sana Ku restart again kwa your ex though ukikumbuka past move mlizofanyanga, good moment , tena utakuta. vile mlifanyanga break kama surprising flani hivi, kweli raisi KI hivyoo, BuT

√√Kwa mdada wameumbwa sijui na roho ya sampuli IPI yani huwanga vile wapo okey kukatibisha ex wao kwa new beginning yaliyopita ashakaa chumbani akafuta mchozi kidogo maisha yaende mbele

√kwa mkaka inakuwanga hard kukubali new starting in case of relationship ,sababu wanasema hawakuumbwa na roho ya KI hivyoo, .....

√thanks ladies for your kindness
 
kwanza kabisa mtu akishakudharau hamna kitu hapo. Wa kupotezewa tu huyo
 
Inaelekea ww bado unamfuatilia na mmekuwa mkiendelea kukazana....subiri upate maambukizi ndio utajua cha kufanya
 
Inategemea, anaweza akawa kajifunza na katambua thamani yako au basi tu ameamua kuja kupata pumziko la muda as anajua kwake hupindui.

mie sikushauri urudiane nae ila fuata moyo na akili yako ili yatakayotokea yawe yo fault na ujifunze.
 
Hayupo serious!!! Anakutumia tu
Usijaribu kumrudisha moyoni labda kama na wewe una mpango wa kumchezea tu!
Mwambie kodi yako imeisha... Atasepa kimoja
 
Kama bado unampenda rudiana nae tu mimi nina rafiki yangu waliachana na gal wake wa tangu secondary, akarukia michepuko mingine baada ya miaka 8 akakutana na huyo gal tena kazaa wakapasha kiporo na sa hivi wameoana kabisa. Na wanamtoto tayari so inawezekana kazunguka kaona we ndo material kaamua kurudi.
Wow! Hii nzuri.
Kama nimeelewa kua huyo mkaka ana msichana mwingine!!! Bado amkubali tu ata kama anampenda?
 
Back
Top Bottom