Ex kugoma kabisa kupima, inaweza kuashiria nini?

Ex kugoma kabisa kupima, inaweza kuashiria nini?

Mu7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
1,655
Reaction score
2,003
Nina ex wangu tuliachana miaka 8 iliyopita ila tuliachana kwa wema sababu ya umbali kijiografia, hatukugombana.
Leo nimemuomba tupashe kiporo amekubali kwa moyo mmoja na tukapanga na venue kabisa.

Nilipodokeza wazo la kupima amegomba sana na kuanza kulalamika kuwa sasa simuamini tena au namuona amekuwa kicheche? Na bla bla nyingi tu. Anasema kama ni lazima kupima kwanza bora tuahirishe tu zoezi la kunyanduana.

Wadau, hii inaweza kuashiria nini?
 

Miaka 8 siyo ishu kipimo nacho hakinasi ngoma ya juzi wala jana ndio maana huwa tunaambiwa turudi miezi mitatu
 
Apa hamna haja ya kuuliza tumia kinga ama sepa
 
Endelea na operation fukua makaburi. ukija na tatizo la UTI au Gono tutakupa msaada, hatuto choka kukuelimisha.
 
Ameolewa lkn ana mgogoro na mumewe. Anasema mumewe amekolea sana kwa michepuko mpaka yeye (mume) amemsusa mke, hampi unyumba.
Jidanganye. Kama kaolewa wewe inakuhusu nini? Kumeza ARV kila siku nayo ni adhabu
 
  • Thanks
Reactions: Mu7
Ameolewa lkn ana mgogoro na mumewe. Anasema mumewe amekolea sana kwa michepuko mpaka yeye (mume) amemsusa mke, hampi unyumba.
Acha hzo mkuu,mke wa mtu wa kazi gani??
 
  • Thanks
Reactions: Mu7

Similar Discussions

Back
Top Bottom