Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,879
- 3,309
- Thread starter
- #161
Nimeelewa mke mzuriEx harudiwi uwa ni wa kupasha nao viporo tu mkimaliza kila mtu anachukua time yake
Nimeelewa mke mzuriEx harudiwi uwa ni wa kupasha nao viporo tu mkimaliza kila mtu anachukua time yake
Pole sana mkuuYule mbwa happy afie mbali, nilimnunulia mkanda wa kipepeo wa kuvalia gauni lake na viatu vyeupe bado akatoroka
😂😂😂😂Ex harudiwi bali unapasha tu kiporo yaani ni friend mechi tu tena inabidi awe baby mama wako,akidai pesa ya matumizi ya Mtoto anapitia home unapiga na viwili inakuwa win win situation
Mmmh mtoa mada ni ME au KE?? Huu mchango hapa umenishtua sana.Thank you sweetheart
Kwahiyo ni lazima niangalie sababu za kuachana in the first place kama bado anaziendeleza nimpe goodbye moja ya hatari
Thank u
Ni ME mkuuMmmh mtoa mada ni ME au KE?? Huu mchango hapa umenishtua sana.
Haulali mzee baba?Ni ME mkuu
Hiyo sweetheart its part of being polite tu
Silali boss vipi wewe?Haulali mzee baba?
Naomba u Ex na weweEx harudiwi uwa ni wa kupasha nao viporo tu mkimaliza kila mtu anachukua time yake
hongeraSasa mimi kwa upande wangu Kurudiana na Ex wangu nimefanya maamuzi mazuri than ever.
I met him Dec 2012 tukaanza mahusiano tukajikongojaa weee 2017 tukaanza vijiugomvi ugomvi kutokana utoto wangu 2018 nikapata mimba kwa another boyfriend sasa hapo nikamwambia alijiskia vibaya mno.
Tulikaa mwaka mmoja na nusu hatuzungumzi if am not mistaken basi bwanaa kule kwa baba mtoto picha likanza nikaanza kupigwa matukio[emoji23]aiseee nilimkumbuka myEx alivyokuwa ananilea ma kunidekeza kam mtotoo.
Sasa nikawa naishi nae tu kwa Lengo la kumsogeza mtoto akifika 2 yrs niondoke nikaanze upya maishaa oooh mambo yalizidi kuwa mengi bwana nikaondoka kabla hata hiyo miaka miwili haijaisha nakumbuka niliondoka mtoto alipofika mwaka na miezi mitatu.
After them nikarudi home nikamtafuta ex ila before nilipokuwa kwa baba mtoto tulikuwa tunawasiliana mara kadhaa ananipa moyo wa kumvumilia ila ilishindikana[emoji119]
September 2021 nikarudiana na my Ex rasmi[emoji7]
Em nifupishe story mie yule Ex wangu ndio kanikumbutia mda huu na Sijawahi kujuta kwa ajili yake nampenda mno[emoji7][emoji3531] Mungu Baba anitunzie yeye Ooh Nyieee Tunapendana Sana[emoji3059][emoji3059]
Nimalizie kipengere Muhimu shida n matatizo yapo ila tumekubaliana kuvumiliana na kuwa pmoja katika nyakati zote hata iweje [emoji4].
Unataka umbea kwa mgongo wa somo😄😄Hhm
Mama D ninatamani utusimulie zaidi kama hutojali,
Obviously kuna somo hapa nami naweza pata suluhu hapa hapa
Ulimuonesha kaburi la ex mpya? (Baba mtoto)Sasa mimi kwa upande wangu Kurudiana na Ex wangu nimefanya maamuzi mazuri than ever.
I met him Dec 2012 tukaanza mahusiano tukajikongojaa weee 2017 tukaanza vijiugomvi ugomvi kutokana utoto wangu 2018 nikapata mimba kwa another boyfriend sasa hapo nikamwambia alijiskia vibaya mno.
Tulikaa mwaka mmoja na nusu hatuzungumzi if am not mistaken basi bwanaa kule kwa baba mtoto picha likanza nikaanza kupigwa matukio[emoji23]aiseee nilimkumbuka myEx alivyokuwa ananilea ma kunidekeza kam mtotoo.
Sasa nikawa naishi nae tu kwa Lengo la kumsogeza mtoto akifika 2 yrs niondoke nikaanze upya maishaa oooh mambo yalizidi kuwa mengi bwana nikaondoka kabla hata hiyo miaka miwili haijaisha nakumbuka niliondoka mtoto alipofika mwaka na miezi mitatu.
After them nikarudi home nikamtafuta ex ila before nilipokuwa kwa baba mtoto tulikuwa tunawasiliana mara kadhaa ananipa moyo wa kumvumilia ila ilishindikana[emoji119]
September 2021 nikarudiana na my Ex rasmi[emoji7]
Em nifupishe story mie yule Ex wangu ndio kanikumbutia mda huu na Sijawahi kujuta kwa ajili yake nampenda mno[emoji7][emoji3531] Mungu Baba anitunzie yeye Ooh Nyieee Tunapendana Sana[emoji3059][emoji3059]
Nimalizie kipengere Muhimu shida n matatizo yapo ila tumekubaliana kuvumiliana na kuwa pmoja katika nyakati zote hata iweje [emoji4].
Naam kaka niamini lipo la kujifunza japo ni kama ka umbeaUnataka umbea kwa mgongo wa somo😄😄
Ulimkuta bikira?anakunyima wewe huku anampa muhuni wake mmoja, we Kama boya tuHapa lazima maamuzi ya kuoa yasiwepo kama wanawake wa kuoa ndo warahisi hivi. Mwanamke unaishi nae bila ndoa na wazazi wake wapo ila fresh tu.
Mke wangu nikikumbuka kile kipindi kumuita aje kwangu ilikuwa kazi nzito kweli. Kipindi chote cha uchumba sex tulifanya mara 2 sijui 3. Baada ya ndoa ndo nilimfaidi.
Nikikuuliza swali huenda nikakuudhi acha ninyamazeKwangu ilikua bad decision ever.....
Tuliachana kwa Amani akaenda kuanza mahusiano mapya, hayakudumu akarudi kwa samahani nyingi, kwa kua nilikua bado sijaingia kwenye mahusiano nikamrudia, hakukua na jipya zaidi ya yale yale yaliyofanya tuachane, hakujirekebisha, nikaona ananiongezea stress ikabidi nimuache kwa nguvu,
Kuna wale watu wakiwa nacho hawajui kukitunza na kukiacha hawataki, wanaweza wakakupa depression usipofanya maamuzi ya kikatili.
Toa ushuhuda wako au toa ushauri,Nikikuuliza swali huenda nikakuudhi acha ninyamaze
Ni lazima mwanamke awe na hofu ya mamlaka, akiwa kwao hofu ipo kwa walezi, akiolewa hofu ipo kwa mume. Sasa iwapo mwanamke hana hofu ya mamlaka ya kwao na analalala kwa mwanaume huyo atakuja kusikiliza sauti ya mume kweli?Ulimkuta bikira?anakunyima wewe huku anampa muhuni wake mmoja, we Kama boya tu
bint anaweza kuish na wazaz wake na bado akawa kisangaOK, unalofikiri halina maana sababu sio uhalisia ila moja ya njia sahihi ya kumtambua binti ni kuangalia wazazi wake, walezi wake. Iwapo hawamlindi binti yao na anaweza kulala kwa mwanaume ajisikiavyo basi binti anaweza asiwe na maadili ndani ya ndoa.
KUHUSU UBOYA WANGU, KATIKA MAISHA YA NDOA SIJAHISHI NIKIWA NA HOFU YA KUGONGEWA ila
Hilo la kumpa jirani likitokea nitafanya maamuzi sahihi.
Na kwa umri alionao sasa atakuwa ni mwanamke mpumbavu kweli, bora angefanya ujanani.
Ndio, Hakuna guarantee kuwa lazima awe mzuri sababu ameishi na wazazi ila kumtazama tabia zake akiwa na wazazi ni kipimo kizuri. Mwanamke lazima atii mamlaka, akiwa kwao mamlaka ni wazazi/walezi. Akiolewa mamlaka ni mume. Sasa kama unaishi nae na hajali kuhusu mamlaka ya kwao kwann hajali sauti yako utakapokuwa mume wake?bint anaweza kuish na wazaz wake na bado akawa kisanga
changamoto za kimaisha,kazi masomo zinaweza mtoa mtoto wa kike nyumbani hakuna kipya hapo tabia ya mtu ni tabia yake tu we kama umepata aliye tulia shukuru mungu basiNdio, Hakuna guarantee kuwa lazima awe mzuri sababu ameishi na wazazi ila kumtazama tabia zake akiwa na wazazi ni kipimo kizuri. Mwanamke lazima atii mamlaka, akiwa kwao mamlaka ni wazazi/walezi. Akiolewa mamlaka ni mume. Sasa kama unaishi nae na hajali kuhusu mamlaka ya kwao kwann hajali sauti yako utakapokuwa mume wake?