Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

Mimi niliachana na dem kisa tu aliona malengo yangu kimaisha yanachelewa kufanikiwa....so akasepa...almost miaka 7...!!awam hii yeye..wadogo zake na mpk shngazi yake wanabembeleza turudiane...!!Nahic wanataka roho yangu...anyway Ex harudiw
Huyo usimrudie kweli maana mambo ykienda mrama tena atakimbia
 
Yalikua ni moja kati ya maamuzi mabaya sana niliyowahi kuyafanya ktk maisha,sijui nini kilifanya nimtafute tena ambapo hapo kwa muda mfupi tu niliokaa naye tena umefanya nibaki na maumivu mpaka leo,nilishindwa kusamehe kabisa
Pole sana if u don’t mind, can u tell us more?
 
For me

Sijawai mrudia sio mchumba tu hata rafiki aliyezingua sababu

Hunichukua muda kufanya research.....na kupata majibu mpaka namuacha mtu so
"Once is a DEMON....is a DEMON TOTAL"
This is beautiful, unachelewa kufanya maamuzi ila Ukifanya umefanya
 
Ex akijileta mle kiboga na unamuacha tena ndani ya Mwezi imeisha hio usilete mapenzi hewa ex harudiwi kwa anarudiwa kwa kisasi tu basi.

Never labda kwa kumfanyia kisasi cha kumjutisha milele
Nimekupata mkuu

Ila hata kama mlitengana kwa amani?
 
Binafsi simshauli mtu kumrudia x huwa wanazingua sana hurudi Kama malaika miezi mitano mbele huendelea na mambo yaleyale yaliofanya muachane... Toa mti weka mti full stop sitaki mazoea
Kata mti panda mti kuokoa mazingira
Nimekupata mkuu
 
Yule mbwa happy afie mbali, nilimnunulia mkanda wa kipepeo wa kuvalia gauni lake na viatu vyeupe bado akatoroka
 
Thank you sweetheart
Kwahiyo ni lazima niangalie sababu za kuachana in the first place kama bado anaziendeleza nimpe goodbye moja ya hatari

Thank u
Sio kuangalia tu, Bali mziongelee na kupeana muda wa kufanyiwa kazi Yale mlikubaliana. Tatizo wengi huwa tonategeana.. Badala ya kuongelea mambo yanayoleta shida ktk mahusiano yetu... Usipoongea nitajuaje na kukwaza?
 
Sio kuangalia tu, Bali mziongelee na kupeana muda wa kufanyiwa kazi Yale mlikubaliana. Tatizo wengi huwa tonategeana.. Badala ya kuongelea mambo yanayoleta shida ktk mahusiano yetu... Usipoongea nitajuaje na kukwaza?
Umesema ukweli kabisa mkuu
 
Ex harudiwi bali unapasha tu kiporo yaani ni friend mechi tu tena inabidi awe baby mama wako,akidai pesa ya matumizi ya Mtoto anapitia home unapiga na viwili inakuwa win win situation
 
Back
Top Bottom