Ex-GF wangu kaolewa jana

Mmmh.... Think like a man! Kwanini uliachwa?

Dont give answers like a woman while pointing fingers at someone!

Btw, keshaolewa huyo! Usimsumbulie ndoa yake tena kwa kukumbushia madhambi!!!



hujamwelewa, ni hivi:- alishaolewa kweli ila kakutana nae akiwa keshaachika,
 
Ninachosema tu ni kuwa I was right. Yule nilikuwa namfahamu kama ninavyojifahamu mwenyewe.

u love her mkuu,me ndo nachoona hapa,thts why u bothered kutafta hii thread...muwowe jmn,she is free now,
 

Mtu mwenyewe kazi unayofanya ni porter wa hotel halafu mbwewe kibao, nyinyi ndio mnaendaga kwa waganga kutia nuksi wanawake.

Kuna wakati vitu vingine tunalazimisha tu, mimi nikiwa secondary nilikuwa na girlfriend na sikuamini hapa duniani kama kuna mwanamke mzuri zaidi yake tulivyofika form four baada ya gradu akanitosa kumbe alikuwa na mtu wa wake kitaa na finally alimuoa.

Nilichojifunza mimi kwa kipindi kile nisingeweza kummiliki mwanamke kwa sababu ndio muda wa kuongeza shule na kujijenga, sasa niko stable tuna mawasiliano mazuri na nikiwa na shida ya cash ananipa na akihitaji kwangu nampa pia, mleta mada kuwa mkweli tu ni kwamba ulizidiwa maarifa.
 
Mmmh.... Think like a man! Kwanini uliachwa?

Dont give answers like a woman while pointing fingers at someone!

Btw, keshaolewa huyo! Usimsumbulie ndoa yake tena kwa kukumbushia madhambi!!!

How does a woman answer??

Gender stereotyping nyingine bana,kwani usingemtaja mwanamke usingeeleweka?
 
Last edited by a moderator:
How does a woman answer??

Gender stereotyping nyingine bana,kwani usingemtaja mwanamke usingeeleweka?

basi nisamehe mtoto mzuri! niko chini ya mapaja yako!
 
Huwa wanasema wanawake hatujui tunataka nini lakini naona hii ina apply kote kote.

Mkuu ni hivi, mara nyingi hao mnaowaona marugaruga ndio wanaume ambo wanaaminika na wenye maadili na tabia nzuri ambayo inamshawishi mwanamke kufanya maamuzi ya kusettle nao. Tofauti na nyie vijana wa mujini mnaojiona wajanja na kujiona bado mnataka kula maisha na hamko tayari kusettle hata mkimpata mwanamke mliyependana. Mnataka kuishi a westernized life ambayo mara nyingine huwa yanawashinda.mwishoni.

Be happy for your ex and respect her decision.
All the best with your choice(ies).
 
Yani tangu tulipoachana 2005 sijawahi kum-miss wala nini, yani hata ikitokea tumeonana ni hi hi hakuna zaidi. Lakini saa hizi ninapofikiria kuwa yuko kwenye honeymoon na yule mrugaruga niliyemwona juzi, no, hapana, haikubaliki aise!

Wew ndio mrugaruga ndio maana alikupa kibut sio type yake kapata type yake kaaolewa kabisa. Hivi hushangai tangu uachane nae hata chozi halikumtoka wala kukupigia magot
Teheheeeeeeee......!
 

Mimi siyo porter kwenye hoteli. Nafanya kazi yangu mwenyewe nimejiajiri, majuzi tulipokutana nilikuwa na kazi hapo hotelini. Kwa hayo mengine uliyosema nimekusoma.
 

Kama alikuwa anamfaa mbona wameachana?
 
Wew ndio mrugaruga ndio maana alikupa kibut sio type yake kapata type yake kaaolewa kabisa. Hivi hushangai tangu uachane nae hata chozi halikumtoka wala kukupigia magot
Teheheeeeeeee......!

Mkuu naona umedandia gari kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…