Ex amerudi kwangu

Ex amerudi kwangu

Sasa ukisikia mwanaume wa dar ndio huyo.

Ila dada acha kuwa cheap bhasi,hizo huruma zako za kibinaadamu kwa lugha nyingine zinaitwaga umalaya.

Me naona kabla hujachukua ushauri kwaajiri ya jamaa hebu pata ushauri kwaajili yako kwanza.
 
Habari Zenu wakubwa. Kuna kitu kimenitokea kama wiki mbili zilizopita nimekuja kwenu japo niondoe mawazo na maswali yangu
Jambo lililonikuta ni kwamba niliachana na mpenzi ambae tulikaa kwenye mahusiano Kwa muda mrefu kidogo tulishindwa kufikia kwenye ndoa baada ya ndugu zake kuingilia mahusiano yetu na wakaamua kumshaur atafute mwanamke mwingine Kwa kua mimi nilishililia msimamo wa ndoa kabla ya Kuishi pamoja.
Sasa imepita miaka miwili bila mawasiliano na huyo mwanaume lakini cha ajabu ni kua hivi karibuni alinitafuta na alitaka tuonane akidai kuna jambo anataka tuzingumze,kibinadamu nilikubali tukapanga kuonana ilipofika siku ya Miadi nikampigia simu akaniambia nimfate maeneo ya Sinza basi nikafanya kama alivyotaka nilipofika nikakuta ameshabook room akaniomba sana niingie ndani tuzingumze nilikubali japo kishingo upande.
Baada ya kuingia room akaniomba tupeane mapenz nilikataa sana kufanya hicho kitu kwa kua sikua tayar kurudiana nae alizidi kunilazimisha hatimae nilikubali kufanya alivyotaka lakin ajabu ni kua haikupita dakika tatu maumbile yake yakasinyaa kabisa ikawa hawez kufanyae chochote nikaamua kuondoka
Baada ya kama siku tatu akanitafuta tena Ilibid niende maana kichwani nilikua namaswali mengi kuhusu hali niliyom
uona nayo. Kweli tulikutana na hali ikawa ni ile ile maumbile yanasimama Kwa sekunde kadhaa halafu yanalala kama ya mtoto mdogo nikaamua kumuweka chin nimuulize tatizo limeanza lini hasemi analia tuu namuuliza Kwa mwanamke wake iko hivyo Hataki kusema kitu analia yupo kama kachanganyikiwa.
Sasa maswali najuiliza je huyu mwanaume Kapata ugonjwa gani
Je ni kweli kuna wanaume hufanyiwa hivyo na wanawake Zao kama limbwata asitembee na wanawake wengine na kama kafanyiwa hivyo iweje anitafute mimi ambae hatujawasiliana Kwa muda mrefu
Akili pia inaniambia huyu jamaa amepata hili tatizo akiwa na huyo mwanamke na sasa ananitafuta Kwa kua kaona hana jipya
Naombeni ushauri nifanyaje nini na huyu mtu maana huruma ya kininadamu imenijia sasa hivi anaongea mwenyewe kama mtu aliechanganyikiwa na hana furaha na maisha
...Ushauri wangu in kwamba....BADO NA WEWE UNAMPENDA! RUDIANENI!
Maana kusimamisha ama kutosimamisha kwake were kunakuhusu mini wakati mliishapigana Kibuti??
Ulikubalije kuingia Guest na X ambaye mliishana miaka miwili iliyopita...huku ukijua kabisa in mini kitakachoendelea??
 
Yaani mtu akinitajia tu Sinza baaasi baasi baasi baasi.

Ila dada ubaya haulipi msaidie mwenzio naamini muda si mrefu atarudi kuwa mumeo. Amini na weka maneno haya. Huyo ndio mumeo. Wakubwa tumeona mengi.
 
Nilikataa sana baadae nikakubali kishungo upande, nilikataa sana baadae nikakubali....haya maneno 'nilikataa sana' hayakuwa na ulazima wa kuwepo kwenye hii habari

Hahah
 
Achana na habari za huruma za kubeba mizigo ya watu...Hakua tayari kukuoa Wala kurudi kwake SI kwakukupenda Bali Ni anashida anahaha...angekuwa mzima Wala asingekukumbuka.

Usipoteze muda waku kuhangaika kwa nabii, mganga au doctor kwa ajili yake.

Muache akajiuguzee mbele huko.
Ms CreditAnalyst unaendeleaje?
 
... kweli kabisa na hata ishia hapo atahangaika Sana kwa wanawake Tofauti akiamini Kuna mmoja itafanya kazi.

Huyo atulie atafute suluhu Kama lipo Kama halipo..AKUBALI Hali afanye mishe Nyingine TU...maisha Sio kugegeda TU.

Aisee sijawahi kuona maumbile yaliolala Kwa namna ile kama ya mtoto mdogo kabisaaa
 
Alikua anataka kujua Kama uume wake haufanyi kazi.kwa.mkewe au mpnz wake TU au kwa watu wote.

Mwambie apime kisukari...anaweza kuwa Anaiyo shida.
Pia hata ngili au tezi dume...
Amshauri aidha kuonana na Dr hata na watu wazima wanaojielewa... Atapa ufumbuzi
 
Habari Zenu wakubwa. Kuna kitu kimenitokea kama wiki mbili zilizopita nimekuja kwenu japo niondoe mawazo na maswali yangu.

Jambo lililonikuta ni kwamba niliachana na mpenzi ambae tulikaa kwenye mahusiano Kwa muda mrefu kidogo tulishindwa kufikia kwenye ndoa baada ya ndugu zake kuingilia mahusiano yetu na wakaamua kumshaur atafute mwanamke mwingine Kwa kua mimi nilishililia msimamo wa ndoa kabla ya Kuishi pamoja.

Sasa imepita miaka miwili bila mawasiliano na huyo mwanaume lakini cha ajabu ni kua hivi karibuni alinitafuta na alitaka tuonane akidai kuna jambo anataka tuzingumze,kibinadamu nilikubali tukapanga kuonana ilipofika siku ya Miadi nikampigia simu akaniambia nimfate maeneo ya Sinza basi nikafanya kama alivyotaka nilipofika nikakuta ameshabook room akaniomba sana niingie ndani tuzingumze nilikubali japo kishingo upande.

Baada ya kuingia room akaniomba tupeane mapenz nilikataa sana kufanya hicho kitu kwa kua sikua tayar kurudiana nae alizidi kunilazimisha hatimae nilikubali kufanya alivyotaka lakin ajabu ni kua haikupita dakika tatu maumbile yake yakasinyaa kabisa ikawa hawez kufanyae chochote nikaamua kuondoka
Baada ya kama siku tatu akanitafuta tena Ilibid niende maana kichwani nilikua namaswali mengi kuhusu hali niliyom
uona nayo.

Kweli tulikutana na hali ikawa ni ile ile maumbile yanasimama Kwa sekunde kadhaa halafu yanalala kama ya mtoto mdogo nikaamua kumuweka chin nimuulize tatizo limeanza lini hasemi analia tuu namuuliza Kwa mwanamke wake iko hivyo Hataki kusema kitu analia yupo kama kachanganyikiwa.
Sasa maswali najuiliza je huyu mwanaume Kapata ugonjwa gani.

Je ni kweli kuna wanaume hufanyiwa hivyo na wanawake Zao kama limbwata asitembee na wanawake wengine na kama kafanyiwa hivyo iweje anitafute mimi ambae hatujawasiliana Kwa muda mrefu

Akili pia inaniambia huyu jamaa amepata hili tatizo akiwa na huyo mwanamke na sasa ananitafuta Kwa kua kaona hana jipya

Naombeni ushauri nifanyaje nini na huyu mtu maana huruma ya kininadamu imenijia sasa hivi anaongea mwenyewe kama mtu aliechanganyikiwa na hana furaha na maisha
Ukimwita demu wako wa zamani akakubali kuja basi anakuja uliwa tu. Hata wewe mwenyewe ulikuwa unataka, mazungumzo gani ya chumbani.
Huyo atakuwa keshafanyiwa mambo mwambie akamuone Mbunge Askofu Ustadh Ngwajima
 
Najiuliza maswali mengi sana au katembea na mke wa mtu akafanyiwa mambo
 
Back
Top Bottom