- Thread starter
- #201
Na huyo jamaa akaamua kuwasikiliza ndugu zake na kuamua kutafuta kuachana na wewe? Ndugu wanaingilia maamuzi ya mapenzi ya watu?
Wachaga wanasikiliza ndugu wenye pesa tuu hawajali utu
Na huyo jamaa akaamua kuwasikiliza ndugu zake na kuamua kutafuta kuachana na wewe? Ndugu wanaingilia maamuzi ya mapenzi ya watu?
Wewe CreditAnalyst ni mkatili ati?Achana na habari za huruma za kubeba mizigo ya watu...Hakua tayari kukuoa Wala kurudi kwake SI kwakukupenda Bali Ni anashida anahaha...angekuwa mzima Wala asingekukumbuka.
Usipoteze muda waku kuhangaika kwa nabii, mganga au doctor kwa ajili yake.
Muache akajiuguzee mbele huko.
Uliachwa, achika. Yatakuja kukupata yasiyokuhusu kwa kuparamia mali za watu. Mama huruma!
Mnyonye kwanzaaHabari Zenu wakubwa. Kuna kitu kimenitokea kama wiki mbili zilizopita nimekuja kwenu japo niondoe mawazo na maswali yangu.
Jambo lililonikuta ni kwamba niliachana na mpenzi ambae tulikaa kwenye mahusiano Kwa muda mrefu kidogo tulishindwa kufikia kwenye ndoa baada ya ndugu zake kuingilia mahusiano yetu na wakaamua kumshaur atafute mwanamke mwingine Kwa kua mimi nilishililia msimamo wa ndoa kabla ya Kuishi pamoja.
Sasa imepita miaka miwili bila mawasiliano na huyo mwanaume lakini cha ajabu ni kua hivi karibuni alinitafuta na alitaka tuonane akidai kuna jambo anataka tuzingumze,kibinadamu nilikubali tukapanga kuonana ilipofika siku ya Miadi nikampigia simu akaniambia nimfate maeneo ya Sinza basi nikafanya kama alivyotaka nilipofika nikakuta ameshabook room akaniomba sana niingie ndani tuzingumze nilikubali japo kishingo upande.
Baada ya kuingia room akaniomba tupeane mapenz nilikataa sana kufanya hicho kitu kwa kua sikua tayar kurudiana nae alizidi kunilazimisha hatimae nilikubali kufanya alivyotaka lakin ajabu ni kua haikupita dakika tatu maumbile yake yakasinyaa kabisa ikawa hawez kufanyae chochote nikaamua kuondoka
Baada ya kama siku tatu akanitafuta tena Ilibid niende maana kichwani nilikua namaswali mengi kuhusu hali niliyom
uona nayo.
Kweli tulikutana na hali ikawa ni ile ile maumbile yanasimama Kwa sekunde kadhaa halafu yanalala kama ya mtoto mdogo nikaamua kumuweka chin nimuulize tatizo limeanza lini hasemi analia tuu namuuliza Kwa mwanamke wake iko hivyo Hataki kusema kitu analia yupo kama kachanganyikiwa.
Sasa maswali najuiliza je huyu mwanaume Kapata ugonjwa gani.
Je ni kweli kuna wanaume hufanyiwa hivyo na wanawake Zao kama limbwata asitembee na wanawake wengine na kama kafanyiwa hivyo iweje anitafute mimi ambae hatujawasiliana Kwa muda mrefu
Akili pia inaniambia huyu jamaa amepata hili tatizo akiwa na huyo mwanamke na sasa ananitafuta Kwa kua kaona hana jipya
Naombeni ushauri nifanyaje nini na huyu mtu maana huruma ya kininadamu imenijia sasa hivi anaongea mwenyewe kama mtu aliechanganyikiwa na hana furaha na maisha
Huo ndo.ukweli Jamani. Miaka miwili ya uzima wake hakuwai kumkumbuka.Wewe CreditAnalyst ni mkatili ati?
We huo kama ni bahati kupata fursa ya kukumbukwa na mtu anapokuwa kwenye matatizo? Inabidi kumshukuru Mungu kwamba umekuwa wa msaada.Kama hujawahi tatua tatizo la mtu jiulize mara mbili mbiliHuo ndo.ukweli Jamani. Miaka miwili ya uzima wake hakuwai kumkumbuka.
Huyu Dada Hana mahusiano?..hata Kama hana...Huyu atakuwa msaada gani Huyu Hanithi?..
Je asipopona itakuwaje?...Je akipona but akawa Sio Kama zamani..atavumilia?..
Kama yupo teyari kuishi Bila tendo na Wala asicheat...maana asizae..
Namtakia kila la kheri
GeniusNilikataa sana baadae nikakubali kishungo upande, nilikataa sana baadae nikakubali....haya maneno 'nilikataa sana' hayakuwa na ulazima wa kuwepo kwenye hii habari
We huo kama ni bahati kupata fursa ya kukumbukwa na mtu anapokuwa kwenye matatizo? Inabidi kumshukuru Mungu kwamba umekuwa wa msaada.Kama hujawahi tatua tatizo la mtu jiulize mara mbili mbili

...Dada Mungu huyu Huyu anakupeleka ukatatue Tatizo la mtu kwa uzinifu... Yaani tumia Dawa tuzini ndo tujue Kama Umepona..Mungu huyu Huyu Anaekataza Uzinifu?Hivi unaiita bahati mtu Ana kaa mwaka hajawai hata kukujulia Hali...akipiga anataka umsaidie pesa..anakaa Tena miezi sita anapiga umsaidie pesa..Hivyo hivyo..We huo kama ni bahati kupata fursa ya kukumbukwa na mtu anapokuwa kwenye matatizo? Inabidi kumshukuru Mungu kwamba umekuwa wa msaada.Kama hujawahi tatua tatizo la mtu jiulize mara mbili mbili
Wewe ni cheap, stupid ass bitch!!! akili unayo kwel yan mtu mmepotzana 2 yrs tena yeye ndo kakuacha then unampanulia mapaja kirahis hivyo !! Je boyfriend wako akijua haya?? Je kama angekuwa ana ukimwi ingekuaje!! Jokajeusi alikuwa yuko sahihi sana kusema tuoe bikra maan wanawake kama hawa ndo wanatukatisha tamaa ya kuangaika na midemu iliyotumiwa na kuachwa maana mda wowote wanapasha kiporo!!
Ila wanawake Mungu atuwekee mkono jamani 2 years mmeachana leo unaitwa tena Guest unaenda kabisa kwa kukenua ivi ingesimama ukaja kupata na ugonjwa ungekaa chini ulie au ustaajabu, move on dada huyo hamna kitu hapo nyie ndio mnafanywagwa uzwazwa ukija kushtuka uko single uzeeni mwenzio yake yanaenda.
DaaaahHabari zenu wakubwa. Kuna kitu kimenitokea kama wiki mbili zilizopita nimekuja kwenu japo niondoe mawazo na maswali yangu.
Jambo lililonikuta ni kwamba niliachana na mpenzi ambae tulikaa kwenye mahusiano Kwa muda mrefu kidogo tulishindwa kufikia kwenye ndoa baada ya ndugu zake kuingilia mahusiano yetu na wakaamua kumshauri atafute mwanamke mwingine kwa kua mimi nilishililia msimamo wa ndoa kabla ya Kuishi pamoja.
Sasa imepita miaka miwili bila mawasiliano na huyo mwanaume lakini cha ajabu ni kua hivi karibuni alinitafuta na alitaka tuonane akidai kuna jambo anataka tuzingumze,kibinadamu nilikubali tukapanga kuonana ilipofika siku ya Miadi nikampigia simu akaniambia nimfate maeneo ya Sinza basi nikafanya kama alivyotaka nilipofika nikakuta ameshabook room akaniomba sana niingie ndani tuzingumze nilikubali japo kishingo upande.
Baada ya kuingia room akaniomba tupeane mapenz nilikataa sana kufanya hicho kitu kwa kua sikua tayar kurudiana nae alizidi kunilazimisha hatimae nilikubali kufanya alivyotaka lakin ajabu ni kua haikupita dakika tatu maumbile yake yakasinyaa kabisa ikawa hawez kufanyae chochote nikaamua kuondoka
Baada ya kama siku tatu akanitafuta tena Ilibid niende maana kichwani nilikua namaswali mengi kuhusu hali niliyom
uona nayo.
Kweli tulikutana na hali ikawa ni ile ile maumbile yanasimama Kwa sekunde kadhaa halafu yanalala kama ya mtoto mdogo nikaamua kumuweka chin nimuulize tatizo limeanza lini hasemi analia tuu namuuliza Kwa mwanamke wake iko hivyo Hataki kusema kitu analia yupo kama kachanganyikiwa.
Sasa maswali najuiliza je huyu mwanaume Kapata ugonjwa gani.
Je, ni kweli kuna wanaume hufanyiwa hivyo na wanawake zao kama limbwata asitembee na wanawake wengine na kama kafanyiwa hivyo iweje anitafute mimi ambae hatujawasiliana Kwa muda mrefu?