EWURA yasitisha bei mpya za mafuta

EWURA yasitisha bei mpya za mafuta

Mrs Zakayo aendelee tu kuupiga mwingi ,tunataka ifike mpaka buku 5.
 
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitishwa kwa bei mpya za mafuta zilizotangazwa jana ambazo zilipaswa kuanza kutumika leo tarehe 1 Septemba.
Serikali imeelekeza bei za mafuta za mwezi uliopita kuendelea kutumika.

======

Serikali imeelekeza EWURA kusitisha bei mpya za mafuta zilizopaswa kuanza kutumika leo Septemba 01, 2021 na zile ambazo zilikuwa zinatumika mwezi Agosti ziendelee kutumika

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Godfrey Chibulunje amesema, "Serikali imeunda Timu Maalum kwa ajili ya kuangalia bei zinavyopangwa na viashiria mbalimbali vinavyosababisha bei iendelee kwenda

Ameongeza, "Bei za zamani zitaendelea kutumika mpaka pale Timu Maalum ambayo imeundwa na Serikali kupitia na kutoa majibu"
Sasa tutapataje maendeleo tena jamani?...
Binafsi sijafurahishwa na uamuzi huu..
 
Mnahangaika na mlipo angukia! Si mlipojikwaa? Kwa taarifa yako hayo ni matokeo ya madaraja na mindege isiyofuata taratibu. Bahati yetu tumemkuta mama anapangua kimya kimya bila kumtaja aliyesababisha. Ila maumivu lazima tuyapate wote.
Serious?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitishwa kwa bei mpya za mafuta zilizotangazwa jana ambazo zilipaswa kuanza kutumika leo tarehe 1 Septemba.
Serikali imeelekeza bei za mafuta za mwezi uliopita kuendelea kutumika.

======

Serikali imeelekeza EWURA kusitisha bei mpya za mafuta zilizopaswa kuanza kutumika leo Septemba 01, 2021 na zile ambazo zilikuwa zinatumika mwezi Agosti ziendelee kutumika

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Godfrey Chibulunje amesema, "Serikali imeunda Timu Maalum kwa ajili ya kuangalia bei zinavyopangwa na viashiria mbalimbali vinavyosababisha bei iendelee kwenda

Ameongeza, "Bei za zamani zitaendelea kutumika mpaka pale Timu Maalum ambayo imeundwa na Serikali kupitia na kutoa majibu"
Kwa mtindo huu ndiyo naanza kumuelewa marehemu kwa nini alikuwa anashikilia shoo zote mwenyewe.Mawaziri wetu hasa wa mambo ya uchumi ni zero brain. kila pendekezo linakuwa la majaribio,Tozo zimekuwa reversed,na bei mpya za mafuta zimekuwa reversed.Hii maana yake ni kwamba maamuzi mengi ni ya kukurupuka.

Nilisema hapa,uchumi wa darasani ni tofauti na uchumi halisi.wapeni wizara watu wanye experience na private sector. Hebu mchekini, Dr .Kimei anaweza kuleta mchango flan hivi
 
Watanzania tunaonwa na viongozi kama Bongo lala
 
Wananchi hatuna mtetezi, wazulumaji wanarudi kwa kasi.
 
Serikali ya kipumbavu sana,CCM siku nyingine msituletee wapika urojo,wapenda umbea,wademkaji tu wanayumbisha sana hii nchi,kwa kifupi huyu Panga girl nchi imeshamshinda hana kipya cha ziada,vitu vya msingi wanachukulia poa,vitu vya kipumbavu wanavijadili hadi bungeni siku nzima,mishipa ya shingo inawakakamaa kweli, pumbavu kabisa!
 
Huyu mama kuna kitu watu wanamchezea asipokua mkali jahazi linaweza kwenda kombo
 
Hii serikali mguu mmoja unaenda Mtwara mwingine Arusha... Vurumai tupu.

Hizi bei si zinapangwa kisayansi? Au wanatumia maombi ya Bishop Gwajima
 
Pambafu sana. Nimejaza mafuta ya 40000 leo na nikapata lita 16 tu. Wasitisha saa ngapi??
 
What a circus...naona kuna tatzo la kiutawala internally..nan alruhusu bei zpande?altumia factors gan?nan anazshusha?kwa reasons gan?#hawajielewi
 
Unajua nini kinaenda kutokea? Kama kweli bei katika soko la dunia imepanda basi hakuna zaidi ya wiki kutakuwa na uhaba mkubwa wa mafuta nchini. Wafanyabiashara hawatakubali biashara ya hasara!
 
Back
Top Bottom