Wayaring
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 301
- 248
Mnahangaika na mlipo angukia! Si mlipojikwaa? Kwa taarifa yako hayo ni matokeo ya madaraja na mindege isiyofuata taratibu. Bahati yetu tumemkuta mama anapangua kimya kimya bila kumtaja aliyesababisha. Ila maumivu lazima tuyapate wote.Hatuna serikali aisee, ni bora tuongozwe na Taliban kuliko hii serikali tuliyonayo