EWURA yasitisha bei mpya za mafuta

EWURA yasitisha bei mpya za mafuta

Nionavyo mimi hawa jamaa hawajui lolote. Unaunda tume ya kuangalia viashiria ambayo hufanya bei kupanda kwa kasi ya mwendokasi wakati unajua fika mafuta yana takribani Kodi zisizopungua 22? Hii ni kupoteza fedha zetu bure kulipana posho za ajabu ajabu kwa jambo ambalo lipo wazi kabisa.
 
Hili gari mwendo liendalo cna iman na huyu dereva
 
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitishwa kwa bei mpya za mafuta zilizotangazwa jana ambazo zilipaswa kuanza kutumika leo tarehe 1 Septemba.
Serikali imeelekeza bei za mafuta za mwezi uliopita kuendelea kutumika.

======

Serikali imeelekeza EWURA kusitisha bei mpya za mafuta zilizopaswa kuanza kutumika leo Septemba 01, 2021 na zile ambazo zilikuwa zinatumika mwezi Agosti ziendelee kutumika

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Godfrey Chibulunje amesema, "Serikali imeunda Timu Maalum kwa ajili ya kuangalia bei zinavyopangwa na viashiria mbalimbali vinavyosababisha bei iendelee kwenda

Ameongeza, "Bei za zamani zitaendelea kutumika mpaka pale Timu Maalum ambayo imeundwa na Serikali kupitia na kutoa majibu"
Hawa watu ndo maana magufuli alikuwa anawarumbua ;naona mama anazididiwa na hawa mapaka shume
 
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitishwa kwa bei mpya za mafuta zilizotangazwa jana ambazo zilipaswa kuanza kutumika leo tarehe 1 Septemba.
Serikali imeelekeza bei za mafuta za mwezi uliopita kuendelea kutumika.

======

Serikali imeelekeza EWURA kusitisha bei mpya za mafuta zilizopaswa kuanza kutumika leo Septemba 01, 2021 na zile ambazo zilikuwa zinatumika mwezi Agosti ziendelee kutumika

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Godfrey Chibulunje amesema, "Serikali imeunda Timu Maalum kwa ajili ya kuangalia bei zinavyopangwa na viashiria mbalimbali vinavyosababisha bei iendelee kwenda

Ameongeza, "Bei za zamani zitaendelea kutumika mpaka pale Timu Maalum ambayo imeundwa na Serikali kupitia na kutoa majibu"
Kwani wapinzani ndo walipendekeza mafuta yapande nanyi sasa mmeona ni hapana ibakie bei ileile ya august?
 
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitishwa kwa bei mpya za mafuta zilizotangazwa jana ambazo zilipaswa kuanza kutumika leo tarehe 1 Septemba.
Serikali imeelekeza bei za mafuta za mwezi uliopita kuendelea kutumika.

======

Serikali imeelekeza EWURA kusitisha bei mpya za mafuta zilizopaswa kuanza kutumika leo Septemba 01, 2021 na zile ambazo zilikuwa zinatumika mwezi Agosti ziendelee kutumika

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Godfrey Chibulunje amesema, "Serikali imeunda Timu Maalum kwa ajili ya kuangalia bei zinavyopangwa na viashiria mbalimbali vinavyosababisha bei iendelee kwenda

Ameongeza, "Bei za zamani zitaendelea kutumika mpaka pale Timu Maalum ambayo imeundwa na Serikali kupitia na kutoa majibu"
kazi iendelee
 
Kwa hiyo aliyetangaza bei mpya kakurupuka kutoka msalani? leo hii hii bei zilishapanda vituoni hadi kufika 2,511....chenji zitarudishwa? jaribuni kuwa makini, naona mmenogewa na tozo kupitiliza......
 
A c h a u j i n g a
Ni kweli serikali haipo Mr.Q wala si mjinga.Jitafakari.Inakuwaje bei mpya ya bidhaa muhimu kama mafita inatangazwa rasmi na taasisi EURA eti serikali haijui.Nani mwenye mamlaka ya kupandisha bei ya bidhaa yoyote hapa nchini bila idhini au ridhaa ya serikali.

Ndiyo maana Blueprint9 kasema hakuna serikali na ni kweli haipo.Mmoja alisema sasa hivi woooote wana shurubu hakuna wa kumsikiliza mwingine.Mwingine alipewa agizo na mkuu wake,hakutekeleza,naye ana shurubu zake akasema kuna double standard.

Usiwabambikizie watu kesi, akaenda na jeshi kanisa la Rc Mwanza wakati wa Ibada akawakamata akawafungulia mashtaka ya kufanya kusanyiko bila kibali .Shurubu hizo.Nasikitika hatutafika.
 
kwani bei ya mafuta si imetokana na kupanda kwa mafuta soko la dunia? sasa serikali inawezaje kusitisha matumizi ya bei mpya? uku si kuchanganyikiwa? sasa hapa si wanatengeneza uhaba wa mafuta maana wafanya biashara hawatokubali kufanya biashara ya hasara? hivi tume ya nini kwanini wasiondoe hiyo tozo ya tsh 100 kwa kila litre walio weka wenyewe?
 
Back
Top Bottom