kasi ya 7%Uchumi unakua kwa kasi
Na bei ikishuka kwenye soko la dunia huwa wanasema ni serikali ya wanyonge imeshusha bei ili kila mtanzania apate ñafuu ya maisha.Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (EWURA) imetangaza ongezeko la bei ya nishati ya mafuta ya dizeli, petroli na mafuta ya taa kwa mafuta yanayoshushwa kwenye bandari za mikoa ya Tanga na Dar es Salaam huku ikitaja kupanda kwa bei kwenye soko la dunia kuwa chanzo cha ongezeko hilo.
Yakipanda ni soko la duniaNa bei ikishuka kwenye soko la dunia huwa wanasema ni serikali ya wanyonge imeshusha bei ili kila mtanzania apate ñafuu ya maisha.
Nchi yenye laana hii.
na iatapanda mpaka 5,000/litreMamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (EWURA) imetangaza ongezeko la bei ya nishati ya mafuta ya dizeli, petroli na mafuta ya taa kwa mafuta yanayoshushwa kwenye bandari za mikoa ya Tanga na Dar es Salaam huku ikitaja kupanda kwa bei kwenye soko la dunia kuwa chanzo cha ongezeko hilo.
Nchi hii Ccm mfanye kila liwezekanalo mumkabidhi George Boniphas Simbachawene Msomi asiye na makuu na mtu, mwenye upeo na hofu ya Mungu asiye mnafiki mpenda watu na mwona mbali kabisa. Tatizo la Ccm wanaangalia wapiga kelele wanawapa nchi badala ya kuangalia presidential materials ndio maana leo tupo tusipopajua.