Ewe mwanaume, usimchunge mwanamke!

Kuna mwanazuoni mmoja alipata kusema β€œwanawake hawaaminiki kwa matendo au kauli zao”
 
Kwani wanawake wankuaga mashetani ukiwaoa tu au at ukiwaita dada?.
 
Ingawa inasikitisha sana..

Lakini binadamu hachungwi...
 
Yaani mtu mzima mmekutana na meno 32 anakukataza kutumia simu unakubali???

Tchaaaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe inauma eeeh!!!
 
Unadhani hata muhenga aliyesema mkimchunguza sana bata kumla tabu aliutoa huko huko huo msemo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…