Maandishi ya herufi kubwa hayo, ndo umepatia haswaaah.Ushauri kwa vijana wenzangu hembu kwanza swala zima la wanawake tuweke pembeni tu pambane kujiweka sawa kiuchumi. Swala zima la kuoa sasahivi ni gumu wanawake kwa wanaume sasahivi hali ni tete swala la kuchepuka ni kama hamna dawa, ewe kijana hembu tumia nguvu zako sasahivi wakati bado una nguvu kujiwezea uwe na kwako au biashara yako. wanawake wapo tu na wataendelea kuwepo wazuri kila siku wana zaliwa ila kupata pisi ya kuoa mtihani. Hembu kuwa serious na maisha yako kwanza jipende kwanza kama mtoto wa kiume alafu utaona kama hawata kutafuta wenyewe.
NO MONEY NO HONEY.
KEEP HUSTLING NIGGER!
Ushauri wa dhahabu.Ushauri kwa vijana wenzangu hembu kwanza swala zima la wanawake tuweke pembeni tu pambane kujiweka sawa kiuchumi. Swala zima la kuoa sasahivi ni gumu wanawake kwa wanaume sasahivi hali ni tete swala la kuchepuka ni kama hamna dawa, ewe kijana hembu tumia nguvu zako sasahivi wakati bado una nguvu kujiwezea uwe na kwako au biashara yako. wanawake wapo tu na wataendelea kuwepo wazuri kila siku wana zaliwa ila kupata pisi ya kuoa mtihani. Hembu kuwa serious na maisha yako kwanza jipende kwanza kama mtoto wa kiume alafu utaona kama hawata kutafuta wenyewe.
NO MONEY NO HONEY.
KEEP HUSTLING NIGGER!
Nacho amini akikupenda ata jichunga. So ukiona una chunga juwa kuna jambo halipo sawa hapo toroka mapema.Inawezekana vipi kiumbe hai chenye akili na utashi kuchungwa? Au mie ndo sielewi.





Hii inaonyesha walimu wa madrasa sio waaminifu,na wanatumia dini vibaya kufanya umalaya.Kuna sekeseke limetokea hapa limenihuzunisha sana, ipo hivi. Kuna jamaa yeye alikua anamchunga sana mke wake, haruhusiwi kutoka bila taarifa ikafikia akamnyang'anya simu kabisa kiasi kwamba mwanamke akawa haruhusiwi kumiliki hata kitochi tu.
Jamaa akajiona YES nimemaliza hamna tena mabaharia kumlia mke wake, bwana bwana kumbe ule msemo wa wahuni sio watu wazuri una maana kubwa sana. Ilitokea mwalimu wa madrasa akawa anamtaka mke wa jamaa. Unajua mbinu gani alikua anatumia!?
Eeeeh walaaaa umepatia kabisa, kuna mtoto wa jamaa alikua anasoma madrasa ambapo huyo mwalimu ndio anafundisha. Mtoto akitoka madrasa anarudi na ujumbe (barua) na wakati wa kwenda anaenda na feedback (barua) hivyo yaani, ustaadh akitaka mzigo anampa mtoto barua dogo anapeleka kwa mama ake (sijui alikua anajua ni matokeo ya pepa za madrasa au vipi) na mwanamke akipokea anatafuta udhuru anaenda kupigwa mkuyenge.
JAMANI WANAUME WENZANGU MWANAMKE HACHUNGWI.
Mwanangu hali tight sasahivi kukimbizana na hii hali ya maisha alafu bado upambane na mtoto wa mtu ni ujinga chagua kilicho bora kwako wewe kwanza vingine baadae vinginevyo uta kosa vyote.Ushauri wa dhahabu.
Kweli kabisa man,unakuta wewe unahangaika kutoa,yeye anakuona fala anaanza kukuletea drama za kuvuruga akili na focus ya kupambana,unamuweka pembeni tu.Mwanangu hali tight sasahivi kukimbizana na hii hali ya maisha alafu bado upambane na mtoto wa mtu ni ujinga chagua kilicho bora kwako wewe kwanza vingine baadae vinginevyo uta kosa vyote.
Mwanangu tafta hela ukiwa na hela it's a matter of choosing yupi unataka wala huta kuwa na stress. Neno lako moja litakuwa command kwake. You can't serve two masters at one time. Mwanamke uchunge na kazi ufanye you will end up being a looser.Kweli kabisa man,unakuta wewe unahangaika kutoa,yeye anakuona fala anaanza kukuletea drama za kuvuruga akili na focus ya kupambana,unamuweka pembeni tu.
Kabisaaaah yaan.Nacho amini akikupenda ata jichunga. So ukiona una chunga juwa kuna jambo halipo sawa hapo toroka mapema.![]()



🤣🤣🤣🤣Kwahiyo huyo mwalimu wa madrasa ndiye nguruwe?Au
Hiyo lazima iwaingie 🙏 🙏 🙏Hapo umeyumba kidogo kaka
Pale hasira za baharia kuliwa nkewe 😁😁😁Wanawake ni mashetani kunguru hawa
hukohuko unapoelekea ndio lengo hasa la mleta mada lilipo, sijajua bado mtu anaedhihaki Dini za watu wengine ananufaikaje!?Na wote hao hawali wala kusogolea kitimoto ni HARAMU
😆😆😆😆😆😆😆👌🏿👌🏿👌🏿hukohuko unapoelekea ndio lengo hasa la mleta mada lilipo, sijajua bado mtu anaedhihaki Dini za watu wengine ananufaikaje!?