Ewe mwanaume, usimchunge mwanamke!

Ewe mwanaume, usimchunge mwanamke!

Kuna mwanazuoni mmoja alipata kusema “wanawake hawaaminiki kwa matendo au kauli zao”
 
Kwani wanawake wankuaga mashetani ukiwaoa tu au at ukiwaita dada?.
 
Ingawa inasikitisha sana..

Lakini binadamu hachungwi...
 
Yaani mtu mzima mmekutana na meno 32 anakukataza kutumia simu unakubali???

Tchaaaa
 
Unadhani hata muhenga aliyesema mkimchunguza sana bata kumla tabu aliutoa huko huko huo msemo.
 
Back
Top Bottom