silasc
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 3,346
- 1,988
Amen.2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
Amen.2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
Miaka 17 hadi 25 hawawezi kuelewa...like nyingi hapo ni above 25 ambao wanaelekea cut off time ya kuolewa na wanaume ambao ni victim ya hao wadada Wa 17 hadi 25Well said mkuu.
Ila walio wengi yataingia na kupitiliza. Lisibaki hata moja kichwani mwao.
Well said mkuu.
Ila walio wengi yataingia na kupitiliza. Lisibaki hata moja kichwani mwao.